Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
😂😂Mim hata sijui lbd ccy ajibu yeye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Mim hata sijui lbd ccy ajibu yeye.
Au ndo kukimbiza watu usiku 😂😆, I mean no malice to nobody😂😂Mim hata sijui lbd ccy ajibu yeye.
Unaanza na herufi @ Kisha jina la mtuintelligent hujasema namna ya kumtagi mtu
I mean no malice to nobodyUmemjibia sio ahahahaah au ndo mlivo ambizana 🙌🙌
Trust the process, I mean no malice to nobodyUtakula tuu wee endelea kutisha raia huku ndani...
Hali ngumu, Bora nikalilie chini ya bahari, ili nisipoteze machozi mengi😂😆Wee jini mpaka ukae chini ya bahari 🤓🤓🤓🤓
I mean no malice to nobody, but For the sake of your health and your family punguza Kaka🙏🙏
Ngoja nikuitie mwenyekiti wa chama Cha mkono bao na sheria ya kumwaga nje dronedrakeKupiga Nyeto
Tuko pamoja GUzi ufutwe asee, kitu hicho nisamehewe sana kuacha siachii
Sijambo kabisa wewe je?🤣🤣🤣
Hujambo?
NImekuelewa sana. Kuna wakati huwa nahisi nina tatizo mana sipend sex holela.Sex is overrated, Kuna starehe nyingine zinazonifanya ni enjoy
Na ile nyingine?Salaam wakuu, unajua katika maisha haya. Kuna baadhi yetu tumekuwa tukifanya baadhi ya vitu ambapo vimekuwa vikitufurahisha.
kiasi kwamba imekuwa ngumu kuacha, hata Kama tushauriwe kwa ukubwa gani, au na mtu yoyote.
kwa upande wangu Kuna vitu vinne, naona kabisa kuacha ni mpaka niingie kaburuni.
👉Misosi- najua mtasema kila mtu anakula, ila kwa upande wangu bhana naona imezidi.
Maana nimeshaifanya kesi, kila nikikutana nacho ni mpaka mmoja wetu anyooshe mikono juu (hapa adui yangu nimemzidi aisee) napakia kiukweli, iwe ugali,wali,ndizi na hata iwe kachumbariView attachment 2490252
View attachment 2490253
Kucheza magame, wakati nakua hili swala lilinafanya nitandikwe Sana na wazazi.
Kwani ilikua huniambii kitu linapokuja swala la kucheza game-nimetumia gameboy, PlayStation.
Mpaka leo imepelekea kuwa Kama moja ya mila na tamaduni zangu, siwezi kukaa bila kucheza magame iwe kwenye pc, PlayStation na hata kwenye simu.
Nimecheza game Kama 👉 asphalt series zote.
👉Pes hadi ya mwaka huu.
👉 Brother in arms 2&3
👉Call of duty.
👉Motorcombat iwe la porin au jeshi.
👉Fifa
Kusoma vitabu, huu ni mmoja ya utaratibu wangu unaonivutia sana.
I didn't have a great childhood life. hivyo niliamua kufunga ndoa na vitabu, nimesoma vingi Sana,ambavyo vilinisaidia kujifunza na kuelimika Sana.
Baadhi ya vitabu nilivyosoma katika Safari yangu hii👉magic of thinking big
👉The 5am club
👉The godfather
👉 Retire young, retire rich.
👉The billionaire of tommorow.
👉What the future.
👉Alex rider
👉 Intelligent investor.
👉Elon musk
👉 Business in Africa.
Hiyo ni list ya baadhi tu, so unaeza tafuta ukajifunza na kufurahia pia.
Kutazama movie,series na documentary, Mimi ni jobless wa kimataifa.
hii imekuwa fursa kubwa kwangu, kwani imenipa nafasi ya kufatilia series na movie nyingi sana.
ziwe crime,horror,drama, investigation, na hata animation. List ya series nilizotazama👉money haseist
👉24 hours.
👉Prison break
👉 Vikings
👉Dracula
👉Jumong
👉Iris
👉 Harry Potter
👉Lord of the rings.(smigo)
Acha niendelee kufurahia uwepo wangu duniani.
wametokea washauri wengi "eti punguza", ninachowajibu ni kwamba wao ni wageni kwenye maisha yangu hivyo wanaeza kwenda..
Ni vitu gani imekuwa ngumu kwako kutengana navyo??
I mean no malice to nobody, hizo nyingine bado sijapataNa ile nyingine?
Pamoja sana mdauTuko pamoja G
MIMI baada ya kusoma reply yako ikabidi nirud juu kuangalia upya. mwanza sikujua kama ni pilipili me nilijua watu wakoswimming pool wanaogaWakati nashuka page hiyo pic ya pili nidhan watu wako kwenye bwawa wanaogelea kumbe pilipili sijui vitu gan duh 🍻
Mi mzima pia.Sijambo kabisa wewe je?