sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Usipite hapa, nakumbuka hapa kwa macho yangu zamani tulifika sehemu ni kama kuna ujenzi wa barabara unaendelea wamefunga njia, mjomba alishuka kwenye gari akatoa jiwe slinaliziba njia, alikuwa anawahi bar, alinishushia njiani
Msikojoe hapa....mtu anakojolea kabisa hayo maneno kwa mtindo wa kuchora kwa kukojoa.
Abiria chunga mzigo wako.., mtu kaweka mziko nyuma mbali na siti yake, akiibiwa anaanza kulalamika kwa dereva.
hivi kweli hata kulenga tundu chooni mtu unashindwa ?