Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kapande AboodUendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani.
Sauli hununua Askari wowote wawao zamu siku husika wa usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na hutoka mtu maalum na gari ndogo Mbeya mjini kwa ajili ya wao wanachokiita kusafisha njia.
Narudia,Sauli na New force ni janga litarajiwalo huko Kusini mwa Tanzania.
Bus linatembea Km840 Kwa masaa 13-14 bado unasema yanakimbia sanaUendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani.
Sauli hununua Askari wowote wawao zamu siku husika wa usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na hutoka mtu maalum na gari ndogo Mbeya mjini kwa ajili ya wao wanachokiita kusafisha njia.
Narudia,Sauli na New force ni janga litarajiwalo huko Kusini mwa Tanzania.
Janga kuu ni rushwa, na wananchi wanateseka kila sekta kwa rushwa.Uendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani.
Sauli hununua Askari wowote wawao zamu siku husika wa usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na hutoka mtu maalum na gari ndogo Mbeya mjini kwa ajili ya wao wanachokiita kusafisha njia.
Narudia,Sauli na New force ni janga litarajiwalo huko Kusini mwa Tanzania.
Daaah, yaani anasafisha njia kabisa?! Duuuuh...!!!!Uendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani.
Sauli hununua Askari wowote wawao zamu siku husika wa usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na hutoka mtu maalum na gari ndogo Mbeya mjini kwa ajili ya wao wanachokiita kusafisha njia.
Narudia,Sauli na New force ni janga litarajiwalo huko Kusini mwa Tanzania.
Tatizo siyo kukimbia ila ni kuovertake hovyo hovyo.Hakuna basi zinazokimbia siku hizi bwashee!
Sijaona dereva kama Giriki wa Tawaqal hadi sasa.
Kwani zamani walikuwa hawaovertake?Tatizo siyo kukimbia ila ni kuovertake hovyo hovyo.
Wivu tu!Uendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani.
Sauli hununua Askari wowote wawao zamu siku husika wa usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na hutoka mtu maalum na gari ndogo Mbeya mjini kwa ajili ya wao wanachokiita kusafisha njia.
Narudia,Sauli na New force ni janga litarajiwalo huko Kusini mwa Tanzania.
Janga kubwa Ni Abiria wenyewe.Janga kuu ni rushwa, na wananchi wanateseka kila sekta kwa rushwa.
Waubani sasahivi anaendesha sauliRama na waubani linyama newforce na golden deer hatari sana