Ni suala la muda tu ila Sauli na New Force mabasi yanayoelekea Tunduma na Mbeya yatamaliza watu

Tuhuma nzito hizi, jeshi la Polisi likitaka ushahidi upo tayari kuwapa?
 
Bwashee mbona una kichwa kigumu! Umeambiwa kuovertake hovyo hovyo na sio kuovertake, zamana magari yalikuwa machache kwahiyo overtake za hovyo hovyo hazikuwepo au zilikuwepo kwa uchache mno na kuminimize risk
Hahahaaaa....... Nimekuelewa bwashee!
 
Amini Mungu ukiwa safarini, abiria kazi yako dua ufike salama, munaweza kutembea taratibu ila kuna kufeli kwa gari na ikatokea ajali nikisafiri sipendi gari nilopanda ipitwe na gari zaidi ya mbili
 
Haya mabasi yatakuja kusababisha ajali itakayoistua nchi.

Wapumbavu wachache wanashabikia ligi yao ya kipuuzi.
Haya tuambie tokea Sauli katoa bus zake lini limepata ajali na kuleta maafa?? Kwa nini kama bus inatakiwa isizidishe speed ya km 80 kwa saa serikali isilete Sheria ya kuingiza bus zenye speed max km 80 kwa saa?? Mwisho kama hupenzi Gari yenye speed si upande Majinja au ABOOD??
 
Wivu tu!

Sasa ukutane na mimi nikuoe lifti natembeaga speed mpaka 200 baadhi ya maeneo sijui utafanya nini
Inawezekana unaenda speed hiyo ila changamoto ya Sauli ni kukosa utulivu barabarani. Hiyo speed ya 200 ni gari gani mkuu na huwa unatumia barabara gani?
 
Hujakutana na Kiazi Kitamu Arusha to Mwanza. Ni noma roho mkononi muda wote na sakari wanawapungia mikono tu.
 

Mkuu haiwezekani kuwa wewe ni mshindani umeamua kutoka kivyako vyako?
 
Hayo magari hayakimbii kabisa. Embakassy ilikuwa inatoka Mbeya saa 12 asubuhi Mnazi Mmoja inaingia saa kumi na nusu au saa 11 jioni, walikuwa wanapanda wazee tuu, haikuwahi kupata ajali, sembuse hayo magari yanayofika Dsm usiku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…