Ni suala la muda tu jimbo la Kawe kutangazwa kuwa lipo wazi

Kwanini hamjibu hoja zake mmekazana chanjo zilikuwepo toka mwamza jibu hoja acheni ufala
 
Gwajima aliahidi kununua katapila kwa pesa yake ndani ya siku 90 toka kuchaguliwa. Vipi ameshanunua?
 
yaani bora iwe hivyo. mimi mwenyewe CHADEMA damu ila juu ya misimamo ya Mchungaji Gwajima kuhusu chanjo ya Corona nasimama nae kwa 100% na namuombea kwa Mungu washenzi-washenzi wanaompinga na kumtishia wakaangamie.
 
Ni sahihi je....? Chanjo utakayo chanjwa wewee ndo ile ya kule wanao chanja wazungu....?

Na bila kusahau kuwa mzungu hafanyi kazi ya hasara.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kwanini waliohoji juu ya ubora wa chanjo nk wameuawa duniani?kwanini wawaue akiwemo magufuri


 
KUNA MADILI MAKUBWA 2 HAPA DUNIANI
AMBAYO NI MAN MADE

1 VITA
2 MAGONJWA .

1 (VITA)
Hii ni fursa ya kubwa sana ya biashara ya kuuza silaha na zana za kijeshi.

2 (MAGONJWA)
Hii ni fursa kubwa sana ya biashara ya madawa na vifaa tiba.

Ukiniambia CHANJO NI DILI/BIASHARA nitakuelewa sana. Lakini ukiniambia chanjo imewekewa vitu vya kuua au kuharibu DNA za watu siwezi kukuelewa unless unipe hoja zenye mashiko na zilizoshiba na sio hivi tunavyodanganyana mitaani.

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini waliohoji juu ya ubora wa chanjo nk wameuawa duniani?kwanini wawaue akiwemo magufuri
Magufuli alikufa kwa Corona. Mtu una moyo wa plastiki bado unaletea ujuaji Corona? Na Gwajima anachojivunia ni kukosa magonjwa nyemelezi.
 

Gwajima hajapata kuwa kiongozi. Sidhani kama yuko timamu kiakili. Kwenye suala la uhai kama hili la chanjo kiongozi wa kuchaguliwa hawezi kutumia mtazamo wake binafsi kugawa uma. Kwa sababu siyo kiongozi wa kisiasa hajui hata maana ya sera ya chama chake na serikali. Kutoamini chanjo ni suala lake binafsi na hapaswi kutumia nafasi yake kisiasa au kidini kushawishi watu wengine.
 

Gwajima ni kiongozi wa kisiasa. Katika suala hili zito hapaswi kuweka mawazo yake binafsi hadharani hasa yanapotofautiana na sera ya chama chake. Vinginevyo ajiuzulu kwanza nafasi yake kisiasa.
 
Hilo sahau. Tena ulipoharibu ni hapo umesema huenda mwezi huu usiishe akiwa mbunge.
 
wa watajua wenyewe huko, ccm wao ndo waliomuona ni bora zaidi wakampitisha kwenda bungeni, leo hii wamegeukwa, ama kweli malipizi ni hapahapa duniani. Walizani wamepata kumbe wamepatikana.
 
Ishu hii ya Gwajima corona inatumika kama sababu tuu... Hii ni zaidi tujuavyo, Gwaji hayuko peke yake na katika genge lao yeye ndio kachaguliwa kama mpiga filimbi (sio yule wa Hamelin)
Kundi faidika la mwanakwenda ndio wako kwenye mpango kabambe wa kumyumbisha bimkubwa..Na agenda yao ni 2025... Wana maslahi yao makubwa na ya siri kwenye hili na ndio wako nyuma ya kupinga katiba mpya kwa nguvu zote..Halali na haramu
 
Swali la kwanza ambalo angepaswa kuuliza Gwajima Ni hili;Je Ni kweli kuwa Corona ipo?
Haiwezekani awaamini wazungu kuwa Corona ipo halafu awabishie wanapoleta Chanjo.Aanze kwanza kusema kufuata kanuni za kujikinga na Corona Ni hiari.
 
Kwenye siasa kamwe usikubali kutangulizwa mbele.Mambo yakiwa magumu wenzio wanakata Kona.Mambo ya CCJ,mambo ya Kina Lowassa yanapaswa kuwa funzo
 
Corona ipo au haipo?
Yale Mabomba kanisani kwake kaweka ya Nini?
 
Halafu ntataka nimuone spika kama atamng'ang'ania kama wale 19
 
Mimi nadhani ajibiwe hoja zake na si vinginevyo!!


Nimesikiliza clip moja wanahoji maswali yale yale kama ya Gwajima, tusimjibu mtu tujibu hoja!


Pia wengi hawasikilizi hoja za Gwajima ila kwakuwa ni.mwana CCM hoja zake zinakuwa zinapuuzwa!

Mfano leo amehoji inakuwaje wataalamu wetu miezi minne walikuwa wanajifukiza halafu leo wamegeuka na kunadi chanjo ambayo hapo Mwanzo waliipinga, nadhani hapa kuna hoja ambayo inapaswa ijibiwe!


Pia amekwenda mbali zaidi akikosoa viongozi ambao hapo kabla walitupilia mbali professsion zao leo wanatuambia tuchanje ndo anahoji sasa tuwaaminije watu wanaobadilika badilika? Ka challenge pia mtaalamu aliyefunga mtungi/pipa kama sikosei pale muhimbili kwa ajili ya kujifukiza na leo anatetea chanjo anahoji je naye anatakiwa kuaminiwa?


Nilimuelewa Naibu waziri wa afya alisema watu kama Gwajima wanapaswa kujibiwa kwa hoja kwa maana waelimishwe na kupewa maelezo ya hii chanjo!!


Leo pia nimesoma ripoti huko Marekani inaonyesha kwamba maambukizi ya uviko-19 kwa watoto wadogo unaongezeka!!


Nashauri, tusimbeze Gwajima, ajibiwe na wala asionekane ni adui!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…