Ni suala la muda tu kabla CCM hawajatuletea 'Magufuli' mwingine

Kuna msemo unasema 'the road to hell is paved with good intentions'
 
Mwigulu anachafuliwa cv.? 😳
Trust me, ccm hata ikisimamisha mbuzi, lazima mbuzi ishinde.
Sijawahi kumkubali huyo kabisa kwa ngazi yoyote ile ya uongozi. Ninachomaanisha ni kuwa Mama amewacontrol na kuwazima wale walioonekana wana political ambitions na ambao wangeweza kutumia jina la Magufuli kujineemesha kisiasa.
 
Omba waisihamu wawe marais siku zote...magufuli atakuja tu ila kamwe siyo kutoka kwa waisiharamu ......viongozi wa ovyo hapa tz ni waisiharamu
..chama cha CCM hakuna muislamu bali wamejaa waisiharamu tu ...basi kama kiongozi ajaye atakuwa mkristo jua tu huyo ndiyo anaweza kuwa magufuli
 
CCM NI GENGE LA WAHALIFU...TOP CRIMINAL
 
..hapana.

..matendo ya Magufuli hayakuwa yanaendana na mtu ambaye yuko karibu na anashauriwa na Ben Mkapa.

..Magufuli angekuwa anashauriwa na Mkala asingeharibu taswira ya nchi kimataifa na kidiplomasia kiasi kile.
Hizi habari za kidiplomasia huwa mnazipata wapi kuna balozi ilifungwa shida watu design yako ni washamba wa wageni na wazungu. Ukute kwako unakula sahani za bati mgeni akija unampa sahani za udongo au kioo ushamba mzigo sana
 
Wamtoe wapi. Ccm hadi SAsa hawana mtu aneuzika nchini 2025 goli lipo wazi kwa wapinzani waamue tu kufunga au kubutua.
 
Kwa hatua CCM walipoifikisha Nchi, njia ni mbili MBELENI.

1. KATIBA mpya na Tume huru ya Uchaguzi. Njia hii itaiua CCM baada tu ya kufanikiwa, bt Taifa litapona.

2. Njia ya kumleta DICTATOR mpya. Njia hii ni njema Kwa wananchi wa kawaida bt ni ngumu Kwa democrasia, maana itabidi kufunga mkanda.

Njia hii yaweza kuwa ngumu sana pia sababu kuwang'oa waovu waliopo, lazima mtikisiko na wapo wataoumia indirect.
 
Huyo JPM mpya aje hata leo.
Maana nchi hii sasa tupotupo tu hata hatuelewi hii gari inepelekwa wapi tumedandia tu.
Na dereva hajui vile vile km anaendesha wala njia.
 
Hahahahaha, mkuu ina maana wewe pekee ndiye hujui kuwa Jiwe alikuwa muuaji na muovu kuliko mtu yoyote Tanzanian?
Ilikuwa ni rahisi kumuhusisha na mauwaji na watu mkaamini hata isipojulikana hao wauliyouliwa wanahusiana vp na Magufuli au kulijulikana walifanya nini chenye kudhaniwa ndio sababu ya Magufuli kuwauwa.
 
Ilikuwa ni rahisi kumuhusisha na mauwaji na watu mkaamini hata isipojulikana hao wauliyouliwa wanahusiana vp na Magufuli au kulijulikana walifanya nini chenye kudhaniwa ndio sababu ya Magufuli kuwauwa.
Ni mbinu za zamani hizo- Kuonyesha kuwa kulikuwa na ukatili wa hali ya juu.- hata hii mada yenyewe inalenga kuendeleza kuchafua legacy yake.
 
Tumuache mh Rais wetu afanye kazi ya kuwatumikia watanzania, Tuna Iman na mh Rais na bado tunamhitaji Sana Kuendelea kututumikia sisi watanzania, habari za Nani atafuata tutakutana 2030 ndio sisi wananchi tutaanza kuwaambia viongozi wetu watuletee jina la Nani kuendeleze kazi iliyotukuka ya mh mama yetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani

Kwa Sasa nchi ipo salama katika mikono salama ya mama Samia suluhu Hassani na tuna Imani Naye ya kutupeleka mbele zaidi
 
Angekuwa Assad ndio rais angekuaje?
 
Nadhani sababu ya Magufuli kuwa Rais makini na moja ya kiongozi bora kuwepo na kukubalika Afrika utendaji wake na misimamo isiyoyumbishwa na magenge kama ni nyeupe ni nyeupe kama nyeusi ni nyeusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…