Ni suala la muda tu kabla CCM hawajatuletea 'Magufuli' mwingine

Ni suala la muda tu kabla CCM hawajatuletea 'Magufuli' mwingine

Hao uliowataja ni takataka gani

Mbona kigoma tu hapo watu saba wa familia moja wameuawa kwa shoka katika utawala huuhuu? Wao siyo watu?

Vipi na hawa wako wapi? View attachment 2333692View attachment 2333693
Hao uchunguzi wa matukio yao umekuwa launched na TANPOL na ndiyo watatupa majibu. Lakini wakati wa mungu wa Chato yeye ndiye alikuwa anatuma kuua watu, hivyo hakuna faili la uchunguzi wa waliotajwa ambao umewahi kufunguliwa na TANPOL. Sababu ni kwamba aliyemteua IGP ndiye anatuma WASIOJULIKANA kuua na kuteka
 
Je unajuwa kuwa kwenye kifo cha BWM kulikuwa na mkono wa Magufuli? Endelea kuamini kuwa alikuwa anammudu
Na Kwenye kifo Cha Magufuli Kuna mkono wa nani? Kama hakuna mkono wa mtu bas kulikuwa na sababu gani PM kudanganya taifa kwamba ni mzima anachapa kazi.
 
Magufuli alikuwa walking carcass tu. Angeweza kufa anytime. Alikuwa na maradhi mtambuka; VVU + Heroes Zoster+ Diabetes+ Kibetri Kifuani+ Kichaa. Ndipo na COVID-19 haikumkooesha.

Yale majigambo ya pushup alikuwa anadanganya wajinga
 
Mwenyewe hapo burudani.
 
Alikuwa ni mshamba siyo genius. Genius person asingetumia njia ile aliyoitumia kumuua Tundu Lissu!! Angekuwa genius asingekufa kwa COVID-19.

Hatutaki kutawaliwa na washamba wa Kolomije tena
Kwani watanzania (wenye kupelekeshwa na ccm mpaka tunatukanwa na majirani kwamba viongozi wetu wanaongoza maiti) wana ujanja gani hadi Magufuli tuone alikuwa mshamba?
 
Kwani watanzania (wenye kupelekeshwa na ccm mpaka tunatukanwa na majirani kwamba viongozi wetu wanaongoza maiti) wana ujanja gani hadi Magufuli tuone alikuwa mshamba?
Wewe ni mmoja wapo wa wale wanaoitwa foolish people in large groups.

Watu wapumbavu wakiwa wengi wanaweza kumchagua mpumbavu mwenzao. Ndivyo ilivyotokea kwa Magufuli
 
Hakuna kero kubwa kama nchi kumilikiwa na kundi la watu wachache Ile Lugha ya hunijui eeeh! Nitakutia adabu
 
Wewe ni mmoja wapo wa wale wanaoitwa foolish people in large groups.

Watu wapumbavu wakiwa wengi wanaweza kumchagua mpumbavu mwenzao. Ndivyo ilivyotokea kwa Magufuli
Sio suala la Magufuli kuchaguliwa bali ni watanzania kuburuzwa buruzwa hadi leo na ccm, ccm inawafanya watanzania inavyotaka na hakuna watanzania wanachoweza kufanya wapowapo tu sasa ajabu watu hao ndio uwaone ni wajanja halafu et uone Jiwe ndio mshamba aliyekuja kuwaongoza wajanja.
Watanzania majirani zetu wote wanatushangaa kwa ujinga tulionao, sasa iweje wewe uone Jiwe ndio mshamba? Kwa ujanja upi mlionao watanzania hadi uone Jiwe hakufaa kuwaongoza nyie?
 
Maneno makali na yanauma ila yana kaukweli fulani ndani yake.
 
BM si kwamba alikuwa anammudu,hapana alikuwa kama mshauri wake.

hawa wengine walijichanganya pale walipotaka kujifanya ni remote,
BM alipenda uccm, JPM alipenda Umagufuli. Lilikuwa si suala la ushauri pekee bali ni suala la uthubutu na ushaur. BM alikuwa na uthubutu.
 
Wamtoe wapi. Ccm hadi SAsa hawana mtu aneuzika nchini 2025 goli lipo wazi kwa wapinzani waamue tu kufunga au kubutua.
Upinzani upi? Kama kuna wakati upinzani ulitakiwa kuwa na nguvu na kutengeneza ushawishi ilikuwa ni kipindi JPM kafariki, ila haiwezekani sababu hawakua upande wake. JPM alihubiri kudhibiti matajiri ambao aliwapachika jina la mafisadi, Upinzani umekuwa ukihubiri vita ya ufisadi, kilichowafanya wasitembee na upepo wa JPM ni nn? Leo hii hawana credibility ya kusimama na kusema ufisadi umerudi sababu wakati JPM anapigana hiyo vita ya kisiasa wao walikuwa wanapigana naye. Alipofariki kwao alifariki adui, sasa utasimamaje tena uje useme ufisadi umerudi? Labda wapenye na sera ya TOZO kidogo wanaweza wakasumbua.
 
Ajenda zipo nyingi Sana sio lazima ufisadi,kuna tozo, machinga,wafanyakazi, gharama juu za maisha,
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
CCM walilazimika kumpa madaraka Magufuli kutokana na mazingira ya wakati ule ila walidhani wangeweza kumdhibiti. Magufuli akawashangaza na kuwafumba midomo hata wale ambao walidhani wangekuwa na sauti juu yake. Mmoja wa watu pekee ambaye NADHANI bado alibaki na kauwezo fulani ka kumkemea alikuwa ni Benjamin Mkapa.

Lakini kwa wengine Magufuli alikuwa too much. Si vigogo si nani, wote waliishi kwa hofu wasijue mzee anaweza akaamka na maamuzi gani juu ya maisha yao.

Sasa hivi CCM wako comfortable, Mama ameweza kuwadhibiti watu wa Magufuli. Polepole kamalizwa kisiasa kwa kupewa ubalozi na wengine kama kina Mwigulu ndiyo wanachafuliwa CV zao za kuwamaliza kabisa kisiasa.

Ila ninachoona CCM ni chama kinachotapatapa. Toka 1995 ni chama ambacho ni nusu mfu. Chochote wanachoweza kujishikizia ili waendelee tu kubaki madarakani, wanafanya hivyo. Siyo tena habari za itikadi au principles. Kwa maneno ya Kolimba, ni chama kilichopoteza dira na muelekeo.

Kesho wanaweza kumtengeneza 'Magufuli' mwingine ambaye watajiaminisha wataweza kumdhibiti tofauti ya yule wa nyuma au mazingira yatawalazimisha kumuunga mkono, na watatulazimisha tumkubali. Na kama kawaida yetu, tutakuwa tunarudia makosa ya nyuma bila kujifunza chochote kwa yaliyopita.
Bora tuendelee na tozo kuliko kutuletea disaster kama hiyo, yaani ukijenga unaulizwa umepata wapi pesa?
 
Wanajf tukybaliane kwa pamoja kuwa Magufuli hakuwa na akili sawa sawa maana kuna vitu vingi tu alivyovifanya hata wenyeviti wa vitongoji wa kule nyakato,chato hawawezi kuvifanya

Kiufupi hakutakiwa kuwa hata mkuu wa shule ya msingi Katerero
 
Back
Top Bottom