Ni suala la muda tu Waziri Mchengerwa atafanya tufungiwe na FIFA

Wakipata dola million mimi nafaidika nini ?Mapenzi ni zaidi ya pesa. Mimi kamwe siwezi shabikia Simba hata wabebe ndoo la CAF. Mimi ni Yanga daima hata tukitolewa na Al Hilal.
Yangaaaaaaaaa............
 
Wakipata dola million mimi nafaidika nini ?Mapenzi ni zaidi ya pesa. Mimi kamwe siwezi shabikia Simba hata wabebe ndoo la CAF. Mimi ni Yanga daima hata tukitolewa na Al Hilal.
Umemaliza...
Halafu yanga itakujaga kufanya vizuri sio sasahivi kwa kulazimisha mambo... Acha tupigwe ndo tuunde timu yenye ushindani zaidi maana kama Al Hilal anakutesa hivo huko makundi tunafata nn?? Mi tufuzu tusifuzu it is still fine
 
Wakipata dola million mimi nafaidika nini ?Mapenzi ni zaidi ya pesa. Mimi kamwe siwezi shabikia Simba hata wabebe ndoo la CAF. Mimi ni Yanga daima hata tukitolewa na Al Hilal.
hiyo dollar million simba ataipata kwenye michuano hii hana haja ya kusubiri support ya mwingine, kuingia makundi tu kuna usd 550,000 hayo mahesabu akaipe team yake isiyo na mipango wala mipangilio
 
Moja ya watu wabaongoza kuharibu mipango ya soka ni wanasiasa. Mpira hautaki siasa. Yanga imekaa kisiasa. Huyo waziri atulie zake aache kutaka kulazimisha sijui simba ishirikiane ya yanga. Katika dunia ya ubepari competition ya uwekezaji ndio inayoleta matunda bora. Simba wawekeze vzr kwa ukubwa wao afu aje mtu aseme tushirikiane ikiwa wao wamewekeza kwenye propaganda. Yanga ili ibadilike itoke kwenye hizo siasa. Simba waliwezea kuwakataa na kuwa puuzia wanasiasa uchwara kama yule jamaa aliye nyimwa piki piki za mkopo na Mo. Yanga ndiyo timu inayoongoza kupinga juhudi za timu zingine. Unataka kwenda mbele kimataifa afu hufanyi maandalizi mazuri, hufanyi sajili zenye kueleweka unaokota wachezaji wa mafungu ili uweke bahasha uonekane una wachezaji kwa ligi za ndani utatudanganya ila kimataifa utaumbuka saana. Yanga adui yao mkubwa ni wanasiasa na viongozi wao wamekaa kiujanja ujanja. Kila kiti kina hitaji transition kutoka hatua moja nyuma kwenda hatua nyingine mbele. Na transition huwa ina kupanda na kushuka. Simba wamefanya transition yao mkawaponda mara sijui 20B hazijukikani ziliko wekwa sijui maneno mengi lakini wajuzi wa mambo.walisema wakati ni ukuta na muda ndio mwalimu mzuri.

Mwisho.niseme tu yanga ipo very primitive. Wasipo badilika kwa jasho na maumivu ya kukubali kuchekwa, kukifunza nk hawawezi kupiga hatua.
Huyo Hersi alishavaaga mpaka na t-shirt za Keizer chief ili tu ku onesha chuki yake dhidi ya simba. Matope waliyo ipaka simba bado tu mnataka ushirikiano wa kienyeji.? Walime na.kupanda wengine afu uvunaji mjitokeze ambao hamtaki kulima na.kupanda ili mfikie mavuno bora.
 
Tatizo la mpira wa Tz ni kuwa. Na timu mbili tu zenye nguvu,tungekuwa nazo zenye nguvu kama tatu nakuendelea huu ujinga usingekuwapo
 
Siwezi kushabikia Yanga abaaaadaniii. Yanga ni watu wa hovyo wasio na akili. Tena huyo waziri akae kwa kutulia
 
waziri mzima unatoa kauli kama hii, kwamba TFF tangu jamaa waingie makundi mwaka 1998 huwa wanatoa mbinu kwa team moja tu?
 
Rubbish, ukitaka kuandika nini? Hueleweki hata mtoto wa nursery school hawezi andika takataka kama hizi.
wewe na waziri wako wote rubbish tu, yaani tangu 1998 watu wlaipoingia makundi TFF zote zilikataa kuwapa mbinu? kwamba karia na TFF hii ndiyo inaipa simba mbinu za kuingia makundi? jamani ? he
 
Endeleeni kuhangaika na ligi kuu kwa kuhonga marefa na kununua mechi + ushirikina, Simba sc tunaingia Group stage na kitita chetu cha bilioni 2.3 mkononi.... zile milioni 600 za NBC za mchongo zinawatosha vyura nyieee
 
Halafu huyo waziri ajue mbinu hazitolewi na TFF ni umafia na jukumu la team husika. It doesn't come cheap anyway
 
[emoji28][emoji28][emoji28] bahati nasibu ya taifa sio? Basi brazil wana bahati sana mana wamewin world cup mara nyingi zaidi. Puuzi moko toka uto mpira uwekezaji na maadalizi ww unazungumzia bahati?? Au kwq kuwa tangu gsm aingie kwenu mbashinda kwa chupri chupri unafikiri vibahasha vinaapply mpaka kwenye mashindano makubwa ya caf.
 
hiyo dollar million simba ataipata kwenye michuano hii hana haja ya kusubiri support ya mwingine, kuingia makundi tu kuna usd 550,000 hayo mahesabu akaipe team yake isiyo na mipango wala mipangilio
Sio kulazimishana tuwashabikie sasa.
 
Muheshimiwa Mchengerwa akemee kwanza tabia ya klabu flani kupokea wageni.
 
Nikikumbuka Ile video ya Hersi na kina Tuisila Naona kabisa wanachopata Yanga ni haki Yao na haina haja ya kushilikiana nao
 
Nikikumbuka Ile video ya Hersi na kina Tuisila Naona kabisa wanachopata Yanga ni haki Yao na haina haja ya kushilikiana nao
hata kabla ya hapo alishavaaga jezi ya kazier chiefs akishangilia zile goals 4, ile video eti fiston razack anasema kabisa tunajua hapo kuna nguvu za giza, Hersi anachekelea kabisa,wameongea pumba nyingi sana kwa visiting teams
 
Umemaliza...
Halafu yanga itakujaga kufanya vizuri sio sasahivi kwa kulazimisha mambo... Acha tupigwe ndo tuunde timu yenye ushindani zaidi maana kama Al Hilal anakutesa hivo huko makundi tunafata nn?? Mi tufuzu tusifuzu it is still fine
Bora wewe umenyoosha maelezo moja kwa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…