Ni suala la muda tu Waziri Mchengerwa atafanya tufungiwe na FIFA

Nikikumbuka Ile video ya Hersi na kina Tuisila Naona kabisa wanachopata Yanga ni haki Yao na haina haja ya kushilikiana nao
Ndio hapo. Kisa wame fail kupanga njia zao wanataka wapate wepesi kwa ideas za wenzao..? Yaani hii timu ilijua propaganda na machawa ndo kupenya kimataifa. Na hakuna muunganiko wowote utakao tokea eti simba tushirikiane na hawa wachawi, miamala fc, malalamiko fc, janja janja fc.? Wafanye transition ya kweli dio hiyo mdhamini ndio raisi(mtuwake) na watoe ule mwiko na mambo mengi mengine wache miamala waache u primitive wakubali kuwekeza. Timu haliendi pre season kujipima na wakubwa wanje afu ilanataka kutusua. Seriously..? Na waajiri watu weledi ambao sio machawa ya boss.
 
Hivi mafanikio ya Yanga mpaka yapite Simba, mbona hawajiamini yaani Kila wanachofanya au kutaka kufanya ni lazima waiangalie Simba hizi ni aibu. Yaani maisha yako unaishi kwa kumwangalia jiran kafanya nini.
Hivi Yanga mnafail wapi, hamuwezi weka misingi ya mafanikio yenu, hili la kuitazama Simba na kujifananisha nap Ili Hali mnajua hamfanani ndio linalofanya hadi mnakula vichapo, fanyeni yenu Simba haiwausu
 
Tulikuwa na timu nne kutuwakilisha mashindano ya CAF. Hapakuwa na kauli yoyote iliyotoka wakati Geita Gold FC ikitolewa na hakuna kinachofanyika kwa Azam FC baada ya kufungwa mechi ya mwanzo.
Nguvu inayotumika ya ajabu ni kwa Yanga kwa kutoka sare tu katika mechi ya mwanzo.
Nikisema hii ni tatizo la afya ya akili tulilonalo ntakosea?
 
Bora serikali imeona huu upuuzi wa kushangilia na kupokea timu za kigeni. Unatutia aibu mbele za wageni.
 
Mm namuelewa saana Mo dewj moja ya kauli zake akisema hataki kuona simba inapewa mkataba wenye ufanano na yanga kwa maana simba imesha wekezeka kiasi kwamba haipo level moja na yanga tena. Akasema nao wawekeze kiasi kama chake. Badala wawekeze kama dewj wanaanza kuwekeza kwa machawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…