Ni taarifa gani Hayati Ally Kibao alikuwa nazo kiasi cha kuepelekea kifo chake?

Mkuu ukweli n kuwa chura kiziwi anazingua kawaachia watu waendeshe nchi wakimwaminisha kuwa watamsaidia 2025,ki kina february unawaonea tu kuwa wana uwezo wa kumilik genge la kuweza kuteka na kuua bas wanaweza pindua nchi,nchi haiko salama tena.
mnamsingizia mama wa watu bure hebu mtafuteni lissu aelezee japo kusikitishwa kwake na huu msiba tusikie kauli yake halafu afuatie heche
 
Kama Watanzania uwezo wetu wa kufikiri na kudadavia mambo ndo huu basi hata baada ya miuaka 200 bado tutaendela kuwa wajinga. Eti kwamba DG wa TISS, IGP, DPP, CDF na Rais na vyombo vyake vote hivi hausiki ispokuwa wahuni fulani wa mtaani wanaendeleza utekaji na uuaji bila mama na vyombo vyake hivi kujua na kwamba anachafuliwa tu na hivi vyombo havina uwezo wa kuwajua hao wahuni na hawakamatiki. Are we serious!!!??
 
 
1).Ni uoga tu. Na kutokujiamini, Wa kupoteza madaraka

2). watu ndani ya vyombo vya usalama wanamdanganya mama ili awategemee kurudi madarakani

3).Wengine wanafanya kumfurahisha wapate vyeo

4). Kuna wanayofanya hujuma ili aonekane ameshindwa ili 2025 aachie ngazi

Lakini vyovyote vile iwavyo kutenda na kuongoza nchi kwa Haki ni thawabu kwa mola Wetu.

Kwa muungwana na mcha mungu Ni Bora kupoteza madaraka kuliko kukumbaia umamafia na ugaidi kwa wananchi wako ili kulinda madaraka
 
Watu wengi walisema mabaya kwa JPM ila n miaka zaidi ya miwili sasa JPM hayupo ila matendo maovu yanaendelea, ndio tujue JPM hakuwa tatizo bali n mfumo mzima wa serikali.

Haya mambo hata kwa Nyerere yalikuwepo.
Kwa hiyo rais hawezi kuyaondoa?.
 
Kwa nini usiseme ni kumfurahisha aliyekuwa ofisi namba 1? Au uliwahi sikia akikemea? Si Bora SSH anatoa Hadi Kauli za kukemea?
Mkuu katika vitu vinavyonikera ni pamoja na raia wa Tanzania kufa namna hiyo wakati wenzetu wanatumia kila ngumu kulinda raia wake harafu unasikia mtu anauawa na magenge ya kihuni yaliyo chini ya Mamlaka fulani.
 
Mkuu katika vitu vinavyonikera ni pamoja na raia wa Tanzania kufa namna hiyo wakati wenzetu wanatumia kila ngumu kulinda raia wake harafu unasikia mtu anauawa na magenge ya kihuni yaliyo chini ya Mamlaka fulani.
Wewe ni mgeni na mambo ya Utawala,yatakukera sana ila Sasa kwenye tawala za Kiafrika hayaepukiki
 
 

Attachments

  • IMG-20240909-WA0021.jpg
    320.1 KB · Views: 3
Wewe ni mgeni na mambo ya Utawala,yatakukera sana ila Sasa kwenye tawala za Kiafrika hayaepukiki
Mimi sio mgeni ila mambo ya kutoa uhai wa mtu yananigusa moja kwa moja huko wanakouza mali za Nchi tushawaachia mpaka roho za watu wasio na hatia wanazichukua hapo ndio natia neno mkuu..
Kumuua huyo Mzee tumefanya kosa sana Nchi inapata laana kubwa sana ni vile watu wanalichukulia kawaida tu..
 
Na mimi siamini kuwa hao wahuni wana uwezo mkubwa kuliko serikali. Ni pale tu watakapokamatwa na kufikishwa mahakamani na wakahukumiwa ndiyo nitaamini kuwa serikali haina mkono katika mauaji haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…