Hapa kuna jambo la kukumbuka, mauwaji ya namna hii yanayohusisha tindikali, kuharibiwa uso vibaya sana sio mauwaji yanayofanya na polisi au serikali,
Kumbukumbu zinaonesha Mauwaji ya namna hii yamefanywa na Chadema dhidi ya wafuasi wake waliowatoa kafara ushahidi ni matamshi ya aliekuwa Katibu Mkuu wa Chadema Dr. Silaha.
Ni wakati umefika wa Watanzania Kuyatazama mambo kwa mapana zaidi ya hisia zetu ni mihemko ya wanasiasa.
Sina shaka kwamba Polisi hawawezi teka mtu mkubwa kisiasa kama alivykuwa Alli Kibao halafu wakafanye ujinga wa kitoto kiasi kile eti wateke hadharani wauwe na kutelekeza maiti hadharani hii sio polisi ya Tanzania..