Ni taarifa gani Hayati Ally Kibao alikuwa nazo kiasi cha kuepelekea kifo chake?

Mr. Mmbaga umeandika short statement ila imebeba long statement.

Haya mambo ya uongozi siyo ya kushangilia anapoingia mkuu mpya, leo tunaona yanayoendelea.
Wazee wa mzimu
 
Wewe form four failure huwezi nielewa. Ndo mnajaa polisi akili hamna hamfikirii. Ulipata Division 5 utakuwa na uelewa wa kuelewa sisi wenye akili kubwa tunachoandika?
Unamwonea bure tu huyo jamaa hata kama ni form four failure. Watu wenye akili kubwa huwa hawajisifu wala hawatukani, wana reason. After all, haya uliyoandika hapa ni mambo yakufikirika tu.
 
Nyerere hakuua watu covertly, Nyerere aliwaweka watu kizuizini au kuwarudisha katika vijiji vyao walipozaliwa na kuwapiga stop kutoka nje ya kijiji. Kama unamjua hata mmoja aliyeuawa covertly mtaje
Fatilia mambo bwana mdogo
 
Ni kweli,tunaambiwa kipindi cha Nyerere wengine walikimbia na kwenda kuishi uhamishoni kwa lazima.
Pengine huyu Mzee alikuwa anakimbia hivyo..
 
Mwakyembe alimwagiwa tindikali na watu gani??
 
Awamu ya kwanza pale wizara ya mambo ya ndani kulikuwa na nyumba kule nyuma zina mabati mekundu zilikuwa zikipakana na ukuta wa YMCA, enzi zile ukipita barabarani unasikia watu wanalia mle ndani kwa vipigo walivyopewa na watu wa usalama wa Taifa.

Mzee Butiku anaongea kwa uwazi leo hii utadhani hakuwa mtu wa karibu wa Mwalimu Nyerere miaka ile.
 
Samia anapata upinzani kutoka kwa hao waliokuwa katika baraza akawapunguza hivi karibuni. Kishindo chao ni lazima kiwe kikubwa lakini haina maana kwamba wao wanayo afadhali yoyote wakipewa mamlaka.

Pia naamini jinsia yake ni tatizo kwa wapuuzi fulani wachache wanaojifanya wameishika mno dini kiasi cha kuona ni kufuru kuongozwa na mwanamke, utadhani wao hawajazaliwa na wanawake.

Samia katulia kimya muda huu anapokea taarifa za kiusalama kutoka kwenye vyanzo vya uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…