The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Sipendi mabasi yanayoruhusu wachuuzi waingie ndani. Sipendi na watu wa dini wanaojifanya kuja kuombea safari wakati abiria wenyewe wana uwezo wa kufanya hayo maombi.Katika harakati za masuala ya safari nimebahatika kupanda basi moja kutoka mkoa X, kero kubwa ni huu mrundikano wa abiria wanaolala kwenye korido kiasi cha tulioketi kukosa hata nafasi ya kunyoosha miguu.
Vipi na wewe unakereka kama mimi? Au tabia ipi inayokukera wewe?
Kabisa , safari nzuri ukae na mdada mrembo na mchangamfuUkae besides na Mmama Mnene na ana mtoto, safari ishaharibika hiyo😁
Usipande mabasi ya wapogoroKatika harakati za masuala ya safari nimebahatika kupanda basi moja kutoka mkoa X, kero kubwa ni huu mrundikano wa abiria wanaolala kwenye korido kiasi cha tulioketi kukosa hata nafasi ya kunyoosha miguu.
Vipi na wewe unakereka kama mimi? Au tabia ipi inayokukera wewe?
Naongea huku nanunua mapochopochoKukaa na mtu anayeongea Sana☹️☹️☹️☹️ Yaani muda wote anataka mpige story Tu!
Kula Kula Sana pia sipendi! Yaani nikijitahidi Sana safari ya masaa 12 nitakula mara moja Tu mchana basi!Naongea huku nanunua mapochopocho
Mhm basi kila mtu avunge tu , macho dirishani , kwenye simu nikichoka nalalaKula Kula Sana pia sipendi! Yaani nikijitahidi Sana safari ya masaa 12 nitakula mara moja Tu mchana basi!
Inategemea ni mabasi ya wapiSitaki kuweka kisa kirefu hapa, usipende kukatia tiketi mtandaoni unaweza ukapata changamoto na mawakala wakasita kukusaidia kwasababu tiketi za mtandaoni haziwalipi.