MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
😁😁😁,yaan kama ninakoelekea sijawahi fika🏃Ukipanda usafi wa umma usikaze sana 😅
😁😁😁,yaan kama ninakoelekea sijawahi fika🏃Ukipanda usafi wa umma usikaze sana 😅
Uko kama Mimi asee.. huwa inanikata sana hiiSipendi mabasi yanayoruhusu wachuuzi waingie ndani. Sipendi na watu wa dini wanaojifanya kuja kuombea safari wakati abiria wenyewe wana uwezo wa kufanya hayo maombi.
Kwanini Mbwiga😂😂Kupata siti ya kukaa, nafasi iwepo kwenye siti yangu , halafu nisubiri mrembo mmoja matata aje kukaa na mimi halafu anakuja mbwiga mmoja , mama au bibi🤔
Ukipata changamoto kampuni husika si linawajibikakutoa msaada?Sitaki kuweka kisa kirefu hapa, usipende kukatia tiketi mtandaoni unaweza ukapata changamoto na mawakala wakasita kukusaidia kwasababu tiketi za mtandaoni haziwalipi.
Kumbe wapogoro nao wana haya masuala😅Usipande mabasi ya wapogoro