Ni tabia gani inakukera ukikutana nayo unapotumia usafiri wa basi?

kukaa siti moja na mwanamke mwenye mtoto, kukaa siti moja na msukuma au mmasai ambae amekaa dirishani na hataki kulifungua kwa kuogopa baridi, huku akitoa harufu mbaya ya mwili kwa kutokuoga muda mrefu na muda mwingine anaachia mishuzi ile yusufuuuu bila aibu, huku akipiga chafya na kutoa miayo .....waaaayi
 
Ni pale mwanaume umekaa Kuna mwanaume mwenzako amesimama began anakugus gusa na mboo alafu amelilax ata kujibalance kukumamake zake๐Ÿ‘บ๐Ÿ‘บ
#HII ni daladala
Ila we jamaa wewe ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ™Œ ๐Ÿ™Œ
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ Daaaah
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Visa vya watu humu ndani... ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Niliwahi simama kutokea tanga KABUKU mpaka Dar es salaam

Siji sahau
Mie niliwahi kupeleka gari private kahama shinyanga, nilifika mchana,nikajiona mjanja siwezi kulala kahama,nikavizia gari za kutoka Uganda v Bukoba nikadandia.

Nilivyopanda nikakuta karibu nusu ya basi ni mizigo tupu, halafu nusu ndio abiria na wengine wamesimama.

Konda akaniambia utapata seat muda si mrefu na mie nikajipa moyo.


Oya sio poa, nilisimama toka kahama mpaka dodoma ndio nikapata seat
 
Oyaaa sio poa..
Ulichukulia poa kumbe et ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ hata mi nilifikilia hv hvo nitapata siti nakuta watu hawashuki.

Pale kuna wadada walishindwa kuvumilia wakakaa chini..
Kuna jamaa nae hv hv alishindwa vumilia akakaa chini...

Mi peke angu gari zima nilikaza aiseee ila huku chini miguu haina kazi
 
1,sipendi kukaa na mtu anaongea sana,aisee sipendi mazoea ya safarini,
2,,sipendi unakaa na mtu ananunua vitu vya kula halafu anakulazimisha ule๐Ÿ™Œ,,coz msimamo wangu simpi mtu chakula changu ndani ya bus,sipokei na sitoi.
 
1,sipendi kukaa na mtu anaongea sana,aisee sipendi mazoea ya safarini,
2,,sipendi unakaa na mtu ananunua vitu vya kula halafu anakulazimisha ule๐Ÿ™Œ,,coz msimamo wangu simpi mtu chakula changu ndani ya bus,sipokei na sitoi.
Mhmm , kwenye usafiri wa umma kuwa humble mda mwingine ni kitu kizuri , nakumbuka tulipata ajali ya basi 2010 maeneo ya magugu , kuna dada alikua na nyodo wakati tumekaa ila mwisho wa siku alihitaji msaada wangu wa kumchomoa chini ya siti๐Ÿ˜Š
 
Eeh ndiyo unakuwa humble lkn mtu asizidishe kuongea sana wengine kuongea tunaona shida๐Ÿ˜,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ