Sipendi mabasi yanayoruhusu wachuuzi waingie ndani. Sipendi na watu wa dini wanaojifanya kuja kuombea safari wakati abiria wenyewe wana uwezo wa kufanya hayo maombi.
Kupata siti ya kukaa, nafasi iwepo kwenye siti yangu , halafu nisubiri mrembo mmoja matata aje kukaa na mimi halafu anakuja mbwiga mmoja , mama au bibiπ€