Ni tabia gani umepanga/ulipanga kuiacha kufanya punde tu ukiuanza mwaka mpya? Vipi matokeo yake.

Ni tabia gani umepanga/ulipanga kuiacha kufanya punde tu ukiuanza mwaka mpya? Vipi matokeo yake.

UZINZI
POMBE
SIGARA

UZINZI mwaka huu wote 2023 nimefanikiwa lkn pia 2023 nimekunywa bia zisizo zidi 30
 
Hiyo ni addiction tayari ila inawezekana ukaacha, uwezi kujizuia usibeti kabisa? Anza kutokubet katikati ya wiki, uwe unabet wekendi.
Ukiliweza hilo wikendi punguza mwishowe utaacha.

Nilichogundua kinachonipa nguvu ya kuendeleza hizi mambo ni kwasababu ratio ya kupata ni kubwa kuliko kupoteza

Halafu mie sibet mara nyingi hata,kwa week naweza kubet mara 1 ama mbili tu...lakini sijawahi kupitisha mwezi sijabet
 
Sasa unataka uache yanini kama unamkulaga muhindi?
 
Ukweli ni kwamba watu wanatakiwa wa~focus kwenye value ya 24hours, nikiwa na maana ya kuipa heshima EVERY SINGLE DAY.

Haya masuala ya kusibiri mwisho wa mwaka ndio mtu ubadilishe life style huwaga ni excitement tu ya kuuona mwaka mpya,na baada tu ya kupita siku mbili tatu unashangaa umejikuta umerudi kwenye cycle ya tabia ulizoazimia kuacha kama kawaida.

Watu tujifunze kuona thamani ya kila siku mpya
 
Back
Top Bottom