proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,616
- 11,854
- Thread starter
-
- #21
kumbe hata ufungwe ukiwa huru utarudia tuKwenye kuacha kitu unachokupenda ni lazima ww uwe wa kwanza..
Mfano teje wa unga, sigara, pombe, kamari, UMALAYA etc.
Ni yeye akinai na yale madhila, lakini sio ndugu wamfunge kamba wampeleke sober, ngumu kuacha. Ila akiamua yeye mwenyewe inawezekana
huogopi kupata ajali?Kuendesha bodaboda huku nimekunywa smart gin
hii tabia mbaya kumbeKuoga.
Unatamani kuacha?Kupenda kutoka na watu wazima
Pombe haina madhara bwasheePombe
Naanza vizuri jioni, usiku nachangamka vizuri tu lakini nikiamka asubuh najuta na kulaani ila chaajabu jioni narudia tena.
Kuzunguka hili duara kumenichosha!
mfano wa chenye madhara tafadhaliPombe haina madhara bwashee
Sumumfano wa chenye madhara tafadhali
kumbe tabia mbayaKufikiria kuoa
sumu ni tabia au dawa ya kuua viumbe?Sumu
Kwani mimi ni jiwe bwashee?sumu ni tabia au dawa ya kuua viumbe?
Nyege ni maumbile ya kimwili, kuna muda kibinadamu tu unahitaji lile tendo, na kuna muda mwili tu unakuonesha unataka lile tendo.hivi ni utamu au ni akili inakuwa na fantasy kwamba kitu fulani ni kitamu ukimashamaliza kugonga unajilaumu mbona nimefanya ujinga na
unatamani kuacha?
tabia ni kitendo ambacho unaweza kukifanya mara kwa maraKwani mimi ni jiwe bwashee?
Kama akili haijakubali, hujataka mwenyewe, utarudia tu.kumbe hata ufungwe ukiwa huru utarudia tu
HongeraNyege ni maumbile ya kimwili, kuna muda kibinadamu tu unahitaji lile tendo, na kuna muda mwili tu unakuonesha unataka lile tendo.
Ila kupenda kufanya kuliko kiasi ndio changamoto,
Maelezo ya hapo ni marefu sana..
Nahisi kuna uzi nilichangia hiki kitu.
Kuhusu kubeti ni kama nimeacha, ile addiction imenitoka, nilikuwa teja wa kubeti..
Sasa hivi inaweza kupita miezi au hata mwaka sijabeti na nikibeti ni elfu 10, 5.. tofauti na zamani ambapo madau yangu yalikuwa heavy kidogo na ilikuwa ni kama kazi, kukaa unachambua games na mambo yoote yanayohusu betting
Mazingira yanachangia kwa kiasi kikubwaKuna hizi sigara zinaitwa (sigara dawa) au wengine wanaita shisha...nimejaribu kiziacha mara nyingi sana..lakini inatokea napita mahali nikisikia ile harufu yake naenda kununua nivute, kesho yake naendeleza mpaka naanza kusikia mate mdomoni yanakuwa machungu..hapo naanza kujilaumu nimefanya nini?
๐๐๐kutumbukiza dole kwenye mbususu kisha kunusa kwa kila ke nnae lala nae