Hupendi kufua sasa nani atamfulia mume wako ?Yeye alinishangaa mimi kumbe sipendi kupika wala kufua, enzi za mahaba ya kuviziana nilikua namwambia nimepika wali na samaki wa kupaka au natuma picha nimebake boflo na rosti la maini, akawa ananiona mpishi wa dunia, kuuumbe aidha mama au mdada ndio wamepika, hua anasema amepigwa na kitu kizito
Hhhh kumbe kuna utaratibu maalum? ,Kuachia mishuuuzi bila utaratibu maalumu...
yeah... Sheria inasema usiachie ush... wako kama mko wawili maana utaaibika bora muwe watatu au ukaze puru lako!!!Hhhh kumbe kuna utaratibu maalum? ,
Mimi uchafu tu aiseee! Mwanzo wa mahusiano Binti alikuwa msafi sana kwa kumuona Yani ananukia balaa Yani hata tukikutana uwanja wa vita natumia silaha zote Hadi chumvini Yani Hadi kwapa nazichumu🙌.
Ila sasa baada ya kumchukua Binti yule kuishi nae aiseeeee yule Binti kumbe kuoga ni mara moja kwa siku na hapo atapika jasho litamtoka tena aiseeee na akiona amepauka labda mguuni atatema mate atajifuta alafu nguo ya ndani anaivaa Hadi siku mbili🤮🤮.
Wakuu kuanzia siku hiyo yule Binti hamu hata ya kukutana nae kimwili ilipotea nikawa kama nimehasiwa tena nikifikilia nilikuwa nazama Hadi uvinza nilitapika wallah🥹🥹
NB; nilimtelekezea Hadi chumba kwa kutwambia nimesafiri ikawa tumeachana hivyo
Mikoa hiyo hiyo mkuu Wala hujakoseaUngemfundisha Mkuu
Bila shaka anatokea mikoa ya Kaskazini
😂😂😂😂mabomuuuKuachia mishuuuzi bila utaratibu maalumu...
Hahhhhaaa kama ya O29 na gesi yake ni balaa tupu!mabomuuu
Ong'wise nalekobha kanike kasheku kabyedeku ?Mikoa hiyo hiyo mkuu Wala hujakosea
Teheeeee kati ya vitu niko makini ni kupika uwa naingia mwenyewe kucheki vitu muhimu kama chumvi na viungo au kama hawapo natoa kitu mwenyewe fastaYeye alinishangaa mimi kumbe sipendi kupika wala kufua, enzi za mahaba ya kuviziana nilikua namwambia nimepika wali na samaki wa kupaka au natuma picha nimebake boflo na rosti la maini, akawa ananiona mpishi wa dunia, kuuumbe aidha mama au mdada ndio wamepika, hua anasema amepigwa na kitu kizito
Kwanini atake kuosha usiku mtu unataka kupumzika?
Akifanya asubuhi anapungukiwa nini?