ellyrehema
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 1,197
- 1,017
Matangazo ya kinga majuto yote huwa siyapenditangazo la LAPF lililofanywa na King Majuto ni tangazo bovu kuliko yote tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matangazo ya kinga majuto yote huwa siyapenditangazo la LAPF lililofanywa na King Majuto ni tangazo bovu kuliko yote tanzania
Hilo tangazo wameli copy wapi Mkuu??Kuna tangazo la Tigo wamecopy wakakosea kupaste.(sijui kuku akifungwa kamba......)
Lile ndio tangazo lilijaa ubunifu maana limeakisi maisha halisi ya mtu na mdogo wakeKweli kbs. Tangazo hovyo sana. Halina ubunifu wowote. Kuna na lile jingine la profesa chapati, yani buree kabisaaa!!.
Tangazo bora ni lile la Coca Cola la wale machali wawili, mtu na mdogo wake.. boooonge la tangazo asee. Mi mpaka nimeli download kwenye simu yangu
My best ever tv advert...
yule binti anapozi la kichokozi aisee....Hili la cocacola la sasa hivi sijiu happy hour........
Limekaa kimahaba kimahaba
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Mbona mi silijui hilo tangazo mkuu?wengi inaonekana hawalipendiNachukia lile tangazo la timiza
Eti mi nimekopa zaidi ya laki
Sita sijui nimenunua vifaa vya bandi yangu
Kisha yule jamaa anaanza kuimba imba
Timiza timiza, yani likipita tu nahama kabisa hiyo channel
[emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1]tangazo la LAPF lililofanywa na King Majuto ni tangazo bovu kuliko yote tanzania
Huwa lipo chaneli Ipi au kipindi gani natamani nilionee[emoji1] [emoji1]Hilo la timiza. Nikilisikia nabadilisha channel. Yule baba simpendiiiiii...
Daah mkuu hili tangazo la kiwi umetisha sanaNAPENDA LILE TANGAZO LA CEMENT NA MUENDELEZO WAKE BAADA YA BULLDOZER KUSHINDWA KUVUNJA NYUMBA WAKAJA KULIPUA NA BARUTI NA YALIPOANZA KUPOROMOKA MAWE TOKA MLIMANI MWENYE NYUMBA AKAWAITA WAJE KUJIFICHA NDANI,
KUNA TANGAZO LA KIWI LA ZAMANI SANA TANGU NIKIWA MDOGO LINA KAWIMBO FULAN KANAIMBWA
HEBU JITOKEZEEEEE.... JIONYESHEEEEE ....
SIMAMAAAAA....
MBELE ZA WATUUUU....
PIA TANGAZO LA COCA COLA YULE JAMAA NA MDOGO WAKE MARA ANAMKANYAGA WANAVYOKULA, MARA KAMPANDISHIA HEAD PHONES JUU YA KABATI, KILA NIKILIONA HILO TANGAZO HUWA NAMKUMBUKA BRO WANGU
Yule mjita chikaka anabore kinoma na kiatu chake kileNachukia lile tangazo la timiza
Eti mi nimekopa zaidi ya laki
Sita sijui nimenunua vifaa vya bandi yangu
Kisha yule jamaa anaanza kuimba imba
Timiza timiza, yani likipita tu nahama kabisa hiyo channel
Huwa linakumbusha mbaali Sana mkuuDaah mkuu hili tangazo la kiwi umetisha sana