Ni tangazo lipi la biashara la TV au redio unalichukia/unalipenda?

Ni tangazo lipi la biashara la TV au redio unalichukia/unalipenda?

Kweli kbs. Tangazo hovyo sana. Halina ubunifu wowote. Kuna na lile jingine la profesa chapati, yani buree kabisaaa!!.
Tangazo bora ni lile la Coca Cola la wale machali wawili, mtu na mdogo wake.. boooonge la tangazo asee. Mi mpaka nimeli download kwenye simu yangu
Lile ndio tangazo lilijaa ubunifu maana limeakisi maisha halisi ya mtu na mdogo wake
 
Mi napenda lile Tangazo ambalo jamaa baba yake anapata tabu ya usafiri then anatafuta gari mtandaoni halafu anakuja kumzawadia baba yake.

Huwa lipo kwenye kipindi cha magari 5 Gear cha Clouds TV..
 
NAPENDA LILE TANGAZO LA CEMENT NA MUENDELEZO WAKE BAADA YA BULLDOZER KUSHINDWA KUVUNJA NYUMBA WAKAJA KULIPUA NA BARUTI NA YALIPOANZA KUPOROMOKA MAWE TOKA MLIMANI MWENYE NYUMBA AKAWAITA WAJE KUJIFICHA NDANI,
KUNA TANGAZO LA KIWI LA ZAMANI SANA TANGU NIKIWA MDOGO LINA KAWIMBO FULAN KANAIMBWA
HEBU JITOKEZEEEEE.... JIONYESHEEEEE ....
SIMAMAAAAA....
MBELE ZA WATUUUU....
PIA TANGAZO LA COCA COLA YULE JAMAA NA MDOGO WAKE MARA ANAMKANYAGA WANAVYOKULA, MARA KAMPANDISHIA HEAD PHONES JUU YA KABATI, KILA NIKILIONA HILO TANGAZO HUWA NAMKUMBUKA BRO WANGU
 
Nachukia lile tangazo la timiza
Eti mi nimekopa zaidi ya laki
Sita sijui nimenunua vifaa vya bandi yangu
Kisha yule jamaa anaanza kuimba imba

Timiza timiza, yani likipita tu nahama kabisa hiyo channel
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Mbona mi silijui hilo tangazo mkuu?wengi inaonekana hawalipendi
 
NAPENDA LILE TANGAZO LA CEMENT NA MUENDELEZO WAKE BAADA YA BULLDOZER KUSHINDWA KUVUNJA NYUMBA WAKAJA KULIPUA NA BARUTI NA YALIPOANZA KUPOROMOKA MAWE TOKA MLIMANI MWENYE NYUMBA AKAWAITA WAJE KUJIFICHA NDANI,
KUNA TANGAZO LA KIWI LA ZAMANI SANA TANGU NIKIWA MDOGO LINA KAWIMBO FULAN KANAIMBWA
HEBU JITOKEZEEEEE.... JIONYESHEEEEE ....
SIMAMAAAAA....
MBELE ZA WATUUUU....
PIA TANGAZO LA COCA COLA YULE JAMAA NA MDOGO WAKE MARA ANAMKANYAGA WANAVYOKULA, MARA KAMPANDISHIA HEAD PHONES JUU YA KABATI, KILA NIKILIONA HILO TANGAZO HUWA NAMKUMBUKA BRO WANGU
Daah mkuu hili tangazo la kiwi umetisha sana
 
Mi napenda lile tangazo la zamani la REVOLA.

"HEMBU TUELEZE SIRI YA UREMBO WAKO ..... SIO SIRI NI REVOLA .... REVOLA PEKEE??"

Daah hili tangazo linanikumbusha mbali sana. Linanikumbusha mpaka ndugu zangu waliokwisha kutangulia mbele za Haki.
 
Nachukia lile tangazo la timiza
Eti mi nimekopa zaidi ya laki
Sita sijui nimenunua vifaa vya bandi yangu
Kisha yule jamaa anaanza kuimba imba

Timiza timiza, yani likipita tu nahama kabisa hiyo channel
Yule mjita chikaka anabore kinoma na kiatu chake kile
 
KUNA YALE YA REDION NA KWENYE TV YA BAADHI ZA COLLEGE WANAKUAMBIA...... !! UKIMALIZA CHUO AJIRA NI UHAKIKA
 
Hii sio ya nchi hii ila naipenda "Go compare the market .com " kwa lafundhi ya Kipolish
 
Back
Top Bottom