Ni Tanzania pekee kukuta watu wanasikiliza nyimbo ya lugha wasiyoijua

Aisee niko Mogadishu hapa tunakula nyimbo za kihindi tu πŸ˜„
Ukiangalia nightclubs za πŸ‡¬πŸ‡§ wanaweka nyimbo za kinaijeria wanaimba kingereza ila wazungu hawaelewi ng"oo ila wanarukaruka tu πŸ˜„
 
Kama anapata burudani Haina shida.
 
Umepuyanga mzazi. The Harvard Law study showed that people from all over the world could understand the emotional and melodic cues in music without knowing the lyrics .Mar 17, 2023

Sasa wanugu (African Americans) wanasikiliza Afrobeats za Nigeria huku hawaelewi kabisa hiyo pidgin english ya Nigeria. Music is the universal language.
 
Mwamba hajui kuwa hata mondi anavofiga show ulaya kuna watu hawajui lugha na wanainjoy ila sema kwakuwa kasema yupo bar
 
Kwa mfano IPO Ngoma Kali SANA ya kuitwa cocomadimba Huwa hainichoshi
 
Navopenda beats za riddims dance hall music hata nsipoelewa fresh tu.
 
Baa usipopiga rhumba utapiga nn yaani nyimbo za congo ni tamu tu japo sielewi wanachosema
 
Kwa mfano Bob Marlay ule wimbo unaitwa natural mistake inasemekana kamtukana Mungu
Huyo jamaa anaimba kwa lugha gani,hatambuliki hata google?

Bob MARLEY yeye kaimba Natural MYSTIC.
 
Una hoja...kina tatizo! Hivi mnakumbuka kikundincha Ngombcha Makhirikri kilivyokuja kupiga Hela Tanzania!
 
Wasouth wanaimba nyimbo za kiswahili

Solly mahlangu - Mwamba mwamba yesu ndiye mwamba

Ukiwauliza mlikua mnaimba nini tuishie hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni wazi kuwa mleta mada huna β€œtaste” ya muziki na pengine huelewi maana yake. Wanasema β€œyou have no ear for music”.

Muziki ni mipigo (beats, melodies, rhythm, tunes, rhymes, …). Sio maneno. Halafu, huwezi kujua lugha zote duniani. Lakini mitindo utaipenda. Mimi binafsi kuna baadhi ya nyimbo sipendi kabisa maneno yake; Natamani nisingeyajua bali melodies zake zinanipeleka mbinguni ya 9. Na hapo huwa napenda sana instrumentals hasa za contemporary jazz.
 
Unatushauri nn mkuu!! Naona umeandka tu .
 
Me nasikiliza sana ngoma za kikorea, yaani nikicheki series zao zile soundtrack zikinibamba tu nazipakua nakuzisikiliza hata kama sielewi kinachoimbwa. Me napenda melody, sauti ya mwimbaji na
Mkuu hapo kwnye nymbo za Kikorea ht mm hufany namna hyo yan natafuta nymbo nnasklza kwa raha zangu ila ukwel unakuta hta sjui nn wanaimba😁
 
Mbongo akifanikiwa kwenda tunchi tuwili tena akakaa jimbo moja muda wote alokuwa huko akifanya tuvibarua twake basi anajikuta anajua kila kitu cha ulimwengu.

Kajifunze Mziki ninini kabla hujatafuta aibu ndogo ndogo kama hizi zinazoweza kuepukika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…