mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mbona wakati wake hakukuwa na mgawo wa umeme...najuwa huwezi kukubali ila kimoyoni unamkubaliHakuweza kabisa, tusidanganyane.
Mwendazake alikuta mitambo mipya kabisa ya Kikwete ya Kinyerezi I, II, III na IV na ikaanza kufa mmoja mmoja katika wakati wake. Ilikuwa inakufa inapomaliza warranty yake tu ya miaka miwili.
Mwisho ikafa yote na hakuna poesa za kuifufuwa, alifanya ujinga sana kukataa kusaini "extended warranty" na kampuni zilizofunga hiyo mitambo. "kwani Watanzania watashindwa kuisimamia" - ka sauti yake. Ndilo kosa hilo linaloitu cost mpaka leo.
Wazungu nao wamaechukuwa advantage, wanasema kuitengeneza sasa gharama zake ni kubwa sana, uamuzi ni wetu.
Ova