mikononyuma
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 641
- 600
[emoji23][emoji23][emoji23]Asante Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025. CCM Oyee.....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Asante Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025. CCM Oyee.....!
Wengine tunakaa nao majumbaniHapo hujalala hotelini ambapo TRA
DuhAsante Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025. CCM Oyee.....!
Ila kumbuka kabla ya yule bwana mlikua mnaenda kwenye vikao vyenu na.majaketi ama mikoba na vebegi vya kuficha sare zenu ili msipopolewe mawe na kuzomewa kitaa na masokoni. Bwana yule mumshukuru sana pamoja na mambo yakeHana maneno mengi kama yule bwana aliyenifanyaga niichukie ccm ila kwa mwendo huu nasema hivi "NIMEREJEA KUNDINI"[emoji847]
Sahihiaho kidogo!: Watalii walioshuka KIA ni 160 tu waliobaki 110 waliendelea mpaka Zanzibar; hapo tu![emoji2]Hii ni moja ya sababu iliyonifanya niipende Serikali ya Awamu ya Sita! Hawana kelele sana wala propaganda ni vitendo tu na matokeo yanaonekana.
Baada ya Serikali iliyopita kudharau Sera ya Mambo ya nje jambo lililopelekea Tanzania kutofaidika na Sera Bora ya Mambo ya Nje, Sasa Mabadiliko ya Sera ya Mambo ya Nje tunaanza kuona yanaanza kuzaa matunda.
Kufuata miongozo ya kimataifa juu ya Corona na kuzingatia upya mahusiano bora na mataifa mengine kunaanza tena kuifaidisha Tanzania Kiuchumi.
Leo Shirika la Ndege la Kimataifa la Uswisi limeanzisha Safari zake kuja Tanzania! Na kwa Leo tu wameshusha watalii 270 Uwanja wa ndege wa kia
Kwa msiojua kila Mtalii anapotua tu hapa Tanzania analipia dola 100 kama gharama ya visa. Hapo hujalala hotelini ambapo TRA wanaingiza Tourist tax, Hapo hajaenda mbugani ambapo analipia pia kama dola 100 kwa kuingia tu mbugani. Fedha zote hizi zinaenda kumuhudumia Mtanzania Kwa kumpatia Maendeleo.
Kusema kweli sina budi kumpenda Mama Samia! Ndo mana thamani ya Shilingi ya Tanzania inazidi kuimarika dhidi ya dola ya Marekani. Hongera Kwa Mabadiliko ya Kisera yanayozidi kulinufaisha TaifaView attachment 1969580View attachment 1969581View attachment 1969582
Alifanya alipoweza kufanya. Huwezi kudharau juhudi za mtu moja kwa moja.Ila kumbuka kabla ya yule bwana mlikua mnaenda kwenye vikao vyenu na.majaketi ama mikoba na vebegi vya kuficha sare zenu ili msipopolewe mawe na kuzomewa kitaa na masokoni. Bwana yule mumshukuru sana pamoja na mambo yake
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Ngoja nitafte card na sare. Mwenye connection kwa kupata kadi aniambie hapa mbeya🤗 mm ni kijana rasmi sasa🌳🌳🌳Mama anaeleweka muda mrefu, ni mzalendo na mtu sahihi kushika hatamu. Anaupiga mwingi na hana kelele, Kwa mwendo huu 2025 nchi nzima itaimba jina lake
Kama mwananchi mzarendo na mpenda maendeleo. Enough.Sasa unashangilia kama nani
Tumia lugha yenye staha. Hilo shirikaNani kasema iyo ni ndege ya kukodisha?
Umeishia darasa la ngapi?
Shirika la ndege limezindua Safari zake kuja Tanzania na watakuwa wanakuja Tanzania mara mbili kwa wiki wewe unasema ndege ya kukodi?
Ukiitwa msukule utasema unatukanwa!
Mama nmeanza kumwelewa[emoji16]
Hana maneno mengi kama yule bwana aliyenifanyaga niichukie ccm ila kwa mwendo huu nasema hivi "NIMEREJEA KUNDINI"[emoji847]