Ni timu gani ya soka ikifungwa huwa unapata furaha?

Duh hapa mimi taonekana mchawi maana wakipigwa hawa mimi hua nachinja hata kuku wa jirani kwa furaha,
-man city
-barcelona
-ndala fc
-uholanzi
-argentina
-n.k.
 
Yani man u akifungwa napata raha sana. Tumpe ushirikiano Mourihno kwa jitihada zake pale matofalini
 
Simba ikifungwa huwa napata furaha sana!
 
Mie simba tu jamaani na kama ile game ya mwisho alipofungwa na Kagera Sugar mbele ya Jiwe basi moyo wangu uliburudika hatari.

(Mnisamehe mikia ndio furaha yangu hiyo) Teh teh teh
Sawasawa [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
 
Timu yoyote anayochezea C. Ronaldo
Timu yoyote anayochezea Neymar
Timu yoyote anayochezea Messi
Yanga, Simba, Taifa Star
Arsena, Man utd, Liverpool.
Brazil

Kiufupi sipendi timu zenye washabiki sifa na wachezaji wenye mijisifa
 
In Particular order:-
1. Man Utd
2. Yanga FC (Chura churani)
3. Timu ya Taifa ya Uingereza
4. Timu ya Taifa ya Brazil (Neymar akicheza)
5. Barcelona
 
Lol..! Haters at their finest. Nimecheka sana yaani.
 
Mie simba tu jamaani na kama ile game ya mwisho alipofungwa na Kagera Sugar mbele ya Jiwe basi moyo wangu uliburudika hatari.

(Mnisamehe mikia ndio furaha yangu hiyo) Teh teh teh
Si ilikua mechi ya bonanza ile maana Bingwa alikua kashatwaa ndooilika bado kukabidhiwa tu

Ni kama mechi ya juzi ya kirafiki Mnyama alipomning'iniza AFC Leopards
 
Masista Unitega a.k.a Manure a.k.a Man6 a.k.a Man U.
 
Manure urinated, Real Madrid, Ureno yani hua nalala usingizi safi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…