Naona Mbumbumbu FC bado mnaendelea kuiombea njaa StarsTaifa Stars maana huwa wanajipa sifa kubwa kuliko uhalisia wa kikosi chao.
Real Madrid,yaani huwa napata burudani ya ajabu.
Pamoja sanaMan U na Simba zikifungwa huwa nafurahi.
Usiniambie umeitosa Majengo FCJkt ruvu
Jkt ruvu ikifungwa ndiyo huwa nafurahia.Usiniambie umeitosa Majengo FC
Ule ugonjwa wa kuona karibu bado unaniandama[emoji23]Jkt ruvu ikifungwa ndiyo huwa nafurahia.
Hahahahhahaha itabidi upate lensi ya kuona mbali tuu. Karibu tuachie sisiUle ugonjwa wa kuona karibu bado unaniandama[emoji23]
Nikabaki nawaza huyu timu yake iliyomkuza kaiacha lini.
Hahaha nakwel malensi kama yoteHahahahhahaha itabidi upate lensi ya kuona mbali tuu. Karibu tuachie sisi