Ni tukio gani la udogoni ambalo huwezi kulisahau?

duuh polee! ila mzee unatisha mpaka leo unaikumbuka!
 
Siku ambayo kaka angu alificha pesa ya Mama akanisingizia Mimi ndio nimeiba..nilipigwa ile siku ..nikatoroka nyumbani nikaenda jibanza kwenye jumba lisiloisha hadi Giza limeingia.

Mama alitafuta sana ile Siku nikarudi home kwa kunyata ...yani hapo yupo ndani analia sionekani..haukupita muda Baba akawa amerudi ndio nikaingia nae ndani nikachukua maji nikaenda kuoga nikalala

Asubuhi nikamwambia Baba ..naomba nipeleke kwa Mama angu huyu sio Mama angu..utoto bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlikuwa bingwa wa kuchezesha!! Baba alikuwa mwalimu sasa anapofundisha na kuwachapa wanafunzi mi namwangalia tu, akimaliza naanza kumuiga kwa kuchezesha tena naongezea maneno yangu mwenyewe na matusi juu, saasa bwana iyo siku akanibamba weeeee, nilipata kichapo cha haja nikakoma kabisa kucheza ule mchezo
 
Choo cha shimo! Nikiwa mdogo like 6 yrs nikaletewa nguo mpya shati na kaptura yake nikaivaa siku hiyo hiyo, baada ya muda nikabanwa na haja kubwa nikaenda msalani nikafanya yangu baada ya kumaliza nikawa naiangalia kaptura yangu mpya!!! Hamadi ikaniponyoka ikadumbukia chooni haaa nihaha nikatafuta mti n utoto wangu najaribu kuitoa kumbe ndo nazidi kuisokomeza nikabaki nalia tu

Kwenda kwa babu kutoa taarifa wee nilichezea bakora sitasahau. Ajabu kile choo baada ya muda kikabomoka eti nikaenda kuitafuta kwenye yale mabaki[emoji851][emoji851]
 
Nakumbuka chekechea nawalaghai wenzengu kWa kuwapa sh20 ili wao wanipe 50 au sh100 kwa sababu eti ni kubwa.. na ukweli walikua wanatoa wakiangalia umbo
 
Daaah nashukuru Mungu sana mpaka Leo mzima wa afya!!
1) Niliwai tumbukia chooni bahati nzuri mguu mkanasa juu hapo ndo ponea yangu!!
2) Nilwai kunywa sumu katika store ya bwana shamba kijijini kwetu (alikuwa jirani yetu) tulikuwa na mtoto wake wakike tunajificha(kibaba na kimama) basi nikachukua chupa moja nilijua ni asali nikapiga gafla povu zito likaanza kunitoka yule rafiki yangu akawa analia tu basi ndo watu kuja kunisaidia
3) lilizama kwenye MTO nikameza maji sana bahati kuna MTU akaja kuniokoa
4) kugongwa na baskeli daah nikawa hoiiii!!!
Mengne ya ukubwani yapo japo Uzi huu unahusu matukio ya utotoni!! Asanteee Mungu kwa zawadi ya uhai

Ulikuwa na masakata sana wewe ulikuwa mtundu.
 
Duh mkuu utaishi miaka mingi wewe siyo Kwa kunusurika huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom