Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaMleta mada unaonekana huingii sana JF, huna point nyingi!!!
Hapo ulimkosea mama bana, mbaya ni huyo kaka aliyekusingizia ila mama nae alikua mkali sana eeh yna2?Asubuhi nikamwambia Baba ..naomba nipeleke kwa Mama angu huyu sio Mama angu..utoto bana
Yea ndio maana nikasema utotoHapo ulimkosea mama bana, mbaya ni huyo kaka aliyekusingizia ila mama nae alikua mkali sana eeh yna2?
Hahahaaa, ila wazazi wa siku hizi sio wakali kwa watoto wao hata akimchapa ni kidogo tuYea ndio maana nikasema utoto
Mama alikua mkali sana yani mkali haswaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah nashukuru Mungu sana mpaka Leo mzima wa afya!!
1) Niliwai tumbukia chooni bahati nzuri mguu mkanasa juu hapo ndo ponea yangu!!
2) Nilwai kunywa sumu katika store ya bwana shamba kijijini kwetu (alikuwa jirani yetu) tulikuwa na mtoto wake wakike tunajificha(kibaba na kimama) basi nikachukua chupa moja nilijua ni asali nikapiga gafla povu zito likaanza kunitoka yule rafiki yangu akawa analia tu basi ndo watu kuja kunisaidia
3) lilizama kwenye MTO nikameza maji sana bahati kuna MTU akaja kuniokoa
4) kugongwa na baskeli daah nikawa hoiiii!!!
Mengne ya ukubwani yapo japo Uzi huu unahusu matukio ya utotoni!! Asanteee Mungu kwa zawadi ya uhai
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaaa mkuu si sana!! Mi ni mpole na mkimya lakin haya matukio yalikuwa yanatokea tuUlikuwa na masakata sana wewe ulikuwa mtundu.
Duh mkuu utaishi miaka mingi wewe siyo Kwa kunusurika hukoDaaah nashukuru Mungu sana mpaka Leo mzima wa afya!!
1) Niliwai tumbukia chooni bahati nzuri mguu mkanasa juu hapo ndo ponea yangu!!
2) Nilwai kunywa sumu katika store ya bwana shamba kijijini kwetu (alikuwa jirani yetu) tulikuwa na mtoto wake wakike tunajificha(kibaba na kimama) basi nikachukua chupa moja nilijua ni asali nikapiga gafla povu zito likaanza kunitoka yule rafiki yangu akawa analia tu basi ndo watu kuja kunisaidia
3) lilizama kwenye MTO nikameza maji sana bahati kuna MTU akaja kuniokoa
4) kugongwa na baskeli daah nikawa hoiiii!!!
Mengne ya ukubwani yapo japo Uzi huu unahusu matukio ya utotoni!! Asanteee Mungu kwa zawadi ya uhai
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yote mapenzi ya Mungu tu!!! Ninachoamini ni kwamba upendo wa Mungu hauna kikomo!!