Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
-
- #41
Ni vizuri tumepotezana sana, hujabo?Personally, sijawahi jutia chochote pia nimeiambia nafsi yangu kutojutia chochote ni kuchosha moyo na akili
Live in the moment, cherish the past embrace the future 🙏
Ni mke au mpenzi? Fimbo ya mbali haiui nyoka mkuu ukishakuwa na mapenz ya mbali ujue tayari ushakubali usaliti. Ni wachache sana wenye uwezo wa kuvumilia vishawishi.Hapo kwenye long distance relationship ni mahusiano fake sana uongouongo na usanii
Juzi kati kaja likizo amelala baada ya kumpea sex nikachukua simu yake nikaweka password yake niliyoyaona WhatsApp na kwenye meseji za kawaida sikutegemea
Kifupi anatombeka sana akiwa Dom
Hapana ila nilitaka kuangalia uwezekqno wa kumkomoa zaidiUlitaka ushiriki?
Ungemkomoaje zaidi?Hapana ila nilitaka kuangalia uwezekqno wa kumkomoa zaidi
Niko poa diaNi vizuri tumepotezana sana, hujabo?
Inachanwa pumbu ya kushoto halafu tunatoa kokwa,tunamuacha anaendaUngemkomoaje zaidi?
Ni mpenzi, long distance relationship hovyo sana. Mahusiano yenyewe tu tayari ni red flagNi mke au mpenzi? Fimbo ya mbali haiui nyoka mkuu ukishakuwa na mapenz ya mbali ujue tayari ushakubali usaliti. Ni wachache sana wenye uwezo wa kuvumilia vishawishi.
Kabisa hilo naamini maana tulikuwa karibu sana. Natamani ningepata hata dk 5 tu naye za maongezi. Na nilipoambiwa kapata ajali sikudhani inaweza kuwa serious ya kuchukua uhai maana ilikua ni safari ndani ya jiji tu. Tulikuwa tumeachana nae si zaidi ya masaa mawili na ilikuwa tuonane nae tena baadae jioni.nilivopigiwa kapata ajali Zaidi nilijua ni kwenda kumsaidia ishu za polisi na nini. Ila baada ya kufika hospital na kumkuta anafanyiwa CPR hapo kwa kweli magoti yaliishiwa nguvu. Wote waliokuwa mahututi kwenye ajali yake walipona isipokuwa yeye tu ambaye mashuhuda wanasema ndio ana fadhali kwa kuwa alionekana hajaumia kwa nje.Pole sana mkuu huenda alikuwa na maelekezo muhimu sana alitaka akushirikishe.
Mapenzi ya mbali ni mateso nayanahitaji uvumulivu,,naumia sana kuwa mbali na kipenzi changuNi mke au mpenzi? Fimbo ya mbali haiui nyoka mkuu ukishakuwa na mapenz ya mbali ujue tayari ushakubali usaliti. Ni wachache sana wenye uwezo wa kuvumilia vishawishi.
Pole sana vumilia kama mapenzi bado yapo na mnaheshimiana, msingi wa mapenz ya mbali n mawasiliano mazuri. Ukiona mawasiliano yameanza kuyumba ujue tayari unaibiwa.Mapenzi ya mbali ni mateso nayanahitaji uvumulivu,,naumia sana kuwa mbali na kipenzi changu
Hapo lazima malengo yabadilike bila kupendaNi mpenzi, long distance relationship hovyo sana. Mahusiano yenyewe tu tayari ni red flag
Vituko gan mkuu share kidogoAikoooh kuna vitukio vya kingese vinatokeaga hapa nakujaga tayari wamezikana sheeeenzy
Pole sana mkuuMy father's Death, tuli onana Kama week mbili.
👉zIlipo pita, napokea taarifa he was gone.
Tumefanyaje tena 🤣🤣🤣Tukio la pili nina uzoefu nalo Usimuamini mwanamke.
Dah mi sitamani hata kuona wanawake sahivi man japo natongoza mara moja moja
Aise pole sana mkuu hizi ajali zimechukuwa ndugu, marafiki na jamaa zetu wengi.Kabisa hilo naamini maana tulikuwa karibu sana. Natamani ningepata hata dk 5 tu naye za maongezi. Na nilipoambiwa kapata ajali sikudhani inaweza kuwa serious ya kuchukua uhai maana ilikua ni safari ndani ya jiji tu. Tulikuwa tumeachana nae si zaidi ya masaa mawili na ilikuwa tuonane nae tena baadae jioni.nilivopigiwa kapata ajali Zaidi nilijua ni kwenda kumsaidia ishu za polisi na nini. Ila baada ya kufika hospital na kumkuta anafanyiwa CPR hapo kwa kweli magoti yaliishiwa nguvu. Wote waliokuwa mahututi kwenye ajali yake walipona isipokuwa yeye tu ambaye mashuhuda wanasema ndio ana fadhali kwa kuwa alionekana hajaumia kwa nje.
ukiona hivyo ujue tayariTumefanyaje tena 🤣🤣🤣
Huo ukatili mkuu si atakufa.Inachanwa pumbu ya kushoto halafu tunatoa kokwa,tunamuacha anaenda
Nafurahi kufahamu hiloNiko poa dia