Ni tukio gani lilitokea ukiwa mbali na mazingira husika ukatamani ungekuwepo kwa muda huo?

Ni tukio gani lilitokea ukiwa mbali na mazingira husika ukatamani ungekuwepo kwa muda huo?

Personally, sijawahi jutia chochote pia nimeiambia nafsi yangu kutojutia chochote ni kuchosha moyo na akili

Live in the moment, cherish the past embrace the future šŸ™
Ni vizuri tumepotezana sana, hujabo?
 
Hapo kwenye long distance relationship ni mahusiano fake sana uongouongo na usanii

Juzi kati kaja likizo amelala baada ya kumpea sex nikachukua simu yake nikaweka password yake niliyoyaona WhatsApp na kwenye meseji za kawaida sikutegemea

Kifupi anatombeka sana akiwa Dom
Ni mke au mpenzi? Fimbo ya mbali haiui nyoka mkuu ukishakuwa na mapenz ya mbali ujue tayari ushakubali usaliti. Ni wachache sana wenye uwezo wa kuvumilia vishawishi.
 
Pole sana mkuu huenda alikuwa na maelekezo muhimu sana alitaka akushirikishe.
Kabisa hilo naamini maana tulikuwa karibu sana. Natamani ningepata hata dk 5 tu naye za maongezi. Na nilipoambiwa kapata ajali sikudhani inaweza kuwa serious ya kuchukua uhai maana ilikua ni safari ndani ya jiji tu. Tulikuwa tumeachana nae si zaidi ya masaa mawili na ilikuwa tuonane nae tena baadae jioni.nilivopigiwa kapata ajali Zaidi nilijua ni kwenda kumsaidia ishu za polisi na nini. Ila baada ya kufika hospital na kumkuta anafanyiwa CPR hapo kwa kweli magoti yaliishiwa nguvu. Wote waliokuwa mahututi kwenye ajali yake walipona isipokuwa yeye tu ambaye mashuhuda wanasema ndio ana fadhali kwa kuwa alionekana hajaumia kwa nje.
 
Ni mke au mpenzi? Fimbo ya mbali haiui nyoka mkuu ukishakuwa na mapenz ya mbali ujue tayari ushakubali usaliti. Ni wachache sana wenye uwezo wa kuvumilia vishawishi.
Mapenzi ya mbali ni mateso nayanahitaji uvumulivu,,naumia sana kuwa mbali na kipenzi changu
 
Aikoooh kuna vitukio vya kingese vinatokeaga hapa nakujaga tayari wamezikana sheeeenzy
 
Mapenzi ya mbali ni mateso nayanahitaji uvumulivu,,naumia sana kuwa mbali na kipenzi changu
Pole sana vumilia kama mapenzi bado yapo na mnaheshimiana, msingi wa mapenz ya mbali n mawasiliano mazuri. Ukiona mawasiliano yameanza kuyumba ujue tayari unaibiwa.
 
Kabisa hilo naamini maana tulikuwa karibu sana. Natamani ningepata hata dk 5 tu naye za maongezi. Na nilipoambiwa kapata ajali sikudhani inaweza kuwa serious ya kuchukua uhai maana ilikua ni safari ndani ya jiji tu. Tulikuwa tumeachana nae si zaidi ya masaa mawili na ilikuwa tuonane nae tena baadae jioni.nilivopigiwa kapata ajali Zaidi nilijua ni kwenda kumsaidia ishu za polisi na nini. Ila baada ya kufika hospital na kumkuta anafanyiwa CPR hapo kwa kweli magoti yaliishiwa nguvu. Wote waliokuwa mahututi kwenye ajali yake walipona isipokuwa yeye tu ambaye mashuhuda wanasema ndio ana fadhali kwa kuwa alionekana hajaumia kwa nje.
Aise pole sana mkuu hizi ajali zimechukuwa ndugu, marafiki na jamaa zetu wengi.
Naelewa maumivu ya kumpoteza mtu ambae uliyekuwa nae muda mchache uliopita, 2018 nilimpoteza rafiki kwa ajali ya pikipiki, tuliachana zikapita kama dakika 7 hvi nikapata taarifa kapata ajali, niliwahi hosital lakin hakuweza hata kusema chochote mpaka umauti unamfika siku chache mbeleni.

Ila siku hiyo kabla ya ajali kuna mambo alikuwa anatuambia(tulikuwa watatu) sikuwa nayaelewa kabisa ila baadae ndio nikaelewa huenda alishajua kifuatacho hadi kuamua kuweka wazi mambo yake aliyokuwa ameyaficha kwa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom