Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?

Sawa achana na mdee, vipi hawa 18 waliobaki nao wameonewa?
 

Unawafedhehesha walimu wako wa sheria! Mdee hakujadiliwa na CC ya chadema kwa makosa aliyofanya Kama mwenyekiti wa Bawacha. Alijadiliwa sambamba na wenzake Kama mwanachama wa Chadema aliyekiuka maadili ndani ya chama!! Kasome téna sheria!
 
Hajasema wamefanya kosa kuwafukuza

Amesema hawajazingatia utaratibu wa katiba yao wenyewe

Fukuza lakini zingatia utaratibu
Labda hujasoma kimantiki, umesoma kimaandishi.

Nani alipaswa kwanza kufata utaratibu?...nani alianza uhuni?....ukienda Roma fanya kama wafanyavyo Waroma!
 
Mkuu bandiko lote Halina hata kifungu cha Sheria Kwa nini na wewe ni mwanasheria?

Wewe mwenzetu umebahatika kusoma katiba ya CHADEMA basi tuwekee hata kifungu tusome je unayoyaongea ni kweli? Ili tuweze kuweka mizani Sawa, vinginevyo tutasema ni chuki labda dhidi ya CDM Kwa vile wewe ni mwanachama wa Chama cha Mapinduzi na uligombea KAWE CCM wajumbe wakakutosa.
 
Jana nilimweleza Mnyika kuwa katiba yao sio halali sababu inanyima haki ya kikatiba ya nchi yaani kwenda mahakamani kudai haki. Wakati wao wanapiga domo kudai vitu havipo kwenye katiba mfano Rais ashitakiwe. Yaani wanafiki wakubwa MaCHADEMA.!
 
PASKALI unajua siku SSH akiruhusu RECONCILIATION na sisi tulioumizwa na utawala wa JIWE na CCM oktoba2015 mpaka 17 machi 2021 mama itabidi akubali kumfungulia faili la jOHN POMBE MAGUFULI and OTHERS;-
kwenye others wa JPM napendekeza tuwaongezee kina;-
PASKALI MAYALLA
TULIA AKSON
 
Ukiweka ushabiki pembeni we ni mchambuzi mzuri na msaada mzuri kwa Taifa.

Ila ukitanguliza ushabiki, tamaa na kutafuta pa kutokea na cheo unakuwaga pimbi, mpumbavu, mjinga na fala mtu asiyejielewa Kama chizi vile. Eti Mwanasheria!!!. Unavyeti vya Sheria lkn mh.
Umeandika hoja za kisheria kimbea mbea tu. Uliisoma katiba ya awali na ya Sasa ya chademà? Sasa njoo na fact sio haya mavimavi!!!!
1. Kifungu gani Cha katiba ya awali ya chademà kiliweka huo ukomo? Uje na fact sio umbea umbea.
2. Kikao Cha tarehe ipi Cha mabadiliko ya katiba kilifuta kipengere hicho.
3. Je chadema warirekebisha katiba bila kujadili au Waliondoa katiba iliyokuwepo kwa msajili na kuchomeka mpya kinyemela? Waliwezaje na wakafanyaje?
4. Kifungu kipi Cha katiba ya chademà kinachozuia Mwenyekiti wa bawacha kushugulikiwa na cc Bali Baraza kuu pekeee NI kipi?
5. Kabla ya kikao Cha balaza kuu lzma lazima cc ikae na kupitia Ajenda je ulitaka wasijadili kabisa na kufikishia wajumbe ushauri wao?
6. Kwanini usitaje Sheria , kanunu na taratibu kwa vipengere na kunukuu wapi kuliko kiukwa. Acha njaa za kitoto braza kwanza tunza digital yako bRaza
 
Uzee unakoendea vibaya. Omba ufikie mwisho ukiwa na akili timamu.
 

Wanabodi,
, jee tunaupinzani wowote wa kweli ambao ni serious, capable, credible, na reliable, wenye the ability and the capabilities wa kuiondoa CCM madarakani?!.

Paskali

To be honest Pascal nakubaliana na wewe 100% katika hili.

Bado Hatuna upinzani wa kweli Tanzania.
 
mzee Pasco

salaam


kusema ukweli chadema ni cha cha hovyo hovyo kuliko hata takataka,wanalilia demokrasia na utawala bora unaozingatia katiba na sheria ila wao ndani mwao wanajiongoza kitemi na kidikteta.

kwanza kitebdo cha hao wamama kama kweli kimefanyika cha kufoji sain za maboss wao katika kujiteua basi inabidi raia wema wa Tanzania tujue na kuamini chadema imejaa majambazi na magaid.
 
Kama kweli ulisomea sheria na argument yako ndiyo hii basi ulikuwa kilaza mkubwa na hadi leo umebaki kuwa hivyo! Pamoja na kujitutumua sana lakini watu wameendelea kukupuuza hata ndani ya chama chako.

Ni vema ukajisahihisha!

Anadai amejibu kisheria lakini bila nukuu yoyote ya sheria Wala katiba ya chadema! Hao ndo wanasheria wetu!! Si ajabu alikimbia ku-practice sheria!!
 
ZIKO WAPI PESA ALIZOTOA MZEE MUSTAPHA SABODO KWA AJILI YA UJENZI WA OFISI KUU YA CHADEMA?
 
Kama msajili alikubali hicho kifungu cha ukomo wa uongozi kifutwe hilo sio kosa la Chadema.

Zaidi nakuona unavyojikuza kwa kutaka Chadema wampigie kura unayemtaka wewe, au kwa namna nyingine unajiona uko juu ya maamuzi ya wanachama wa Chadema wanaoamua waongozwe na kiongozi yupi kwa kumpigia kura.

Wacha kuhangaika, hao kina Mdee walikuwepo wakati wa hizo sheria, kama hawakujua maana ya sheria ni msumeno, ndio wajue sasa.
 
Brother P kwaelewa Chadomo ni kazi sana , lile ni kundi la vilaza wenye uthubutu wa kupambana, haiweze kama mkuu wa chama kufeli shule kwa kuzungusha zero aje awe mbadala wa CCM kusaidia taifa ,


CHADEMA kifutwe tu

USSR
Vipi Nusrat hanje?atoke jela usiku,aapishwe asubuhi??imekaaje hii??na ndugai alisemaje???
 
Kumbe wale wabunge ni kundi la Bawacha! Mdee alijadiliwa kama mwenyekiti au kama mwanachama aliyeasi? Nadhani wote hao 19 si wenyekiti wa Bawacha, ni wanachama na walijadiliwa wakiwa wanachama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…