Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?

Asante sana

Ukiona mkeo kakusaliti live,halafu lafiki yako au adui yako anamtetea sanaaa ujue kuna namna.Mimi sijasomea sheria
 
Kwamba mwalimu wako wa sheria ni Kabudi (reprofesory), et all,

Kwamba walikufundisha kufafanua katiba husika kwa maelezo marefu bila nukuu ya sura na, au kifungu kiwacho chote,

Kwamba Mayala ni njaa na ikizidi tumbo hufanya kazi ya ubongo na vice versa ni true.

Kwamba wewe si mwanahabari huru na nimsaka fursa mwanye harakati za PIMBI

ALAMSIKI
 
Kaka Mbona unateseka sana na mambo yasiyokua na msingi hiyo "degree" yako si ukatoe msaada wa kisheria kwa wasiojiweza kuliko kuwapigia domo watu ambao wanavuta ela ambazo unaweza usikae uzipate ? Halafu nasikia anagrind kwahiyo hata kimasihara hupati 🤧
 
Kama kweli ulisomea sheria na argument yako ndiyo hii basi ulikuwa kilaza mkubwa na hadi leo umebaki kuwa hivyo! Pamoja na kujitutumua sana lakini watu wameendelea kukupuuza hata ndani ya chama chako.

Ni vema ukajisahihisha!
Njaa kalihatari cc.Njaakali Hatari
 

Nimejiridhisha kabisa pasipo shaka Mbowe sio kiongozi astute. Wanamuona anawafaa kwa sababu anaongoza average people
 

Mr Hunger, bila shaka utakuwa umelipwa na hao kina mama wasaliti kwani unawatetea kwa nguvu- kila siku unakuja na thread ya nguvu isiyokuwa na hoja yoyote wala evidence bali hisia tu zinzosukumwa na njaa kali.
Hao kina dada kwa mkwanja tu wanao nimesoma mahali kwamba kwa miezi 25 wakiwa Bungeni kiharamu walikuwa wanajichangisha 1m/- kila mmoja - hadi sasa wana 400m/- na inaonekana unazichapa sehemu ya hizo hela kuwatetea humu JF.
ANGALIZO KWA JF ADMIN:
Liangalie hili suala- inakuwaje mtu mmoja kila siku tangu sakata hili lianze few days ago anaweka anti-CDM thread moja kali kila siku almost kuhusu same issue- anabadilisha tu headline. Siku nyingine anaweka hadi thread mbili. Kusanya zote ziweke pamoja ili JF ionekane credible.
 
Ilianza kangaroo court haitoshi sasa unahoji walipata wapi kibali.....kwa vp we imekuuuma nini au una maslahi gani na hao 19 kuondolewa chadema, wr ni c ni ccm
 
Lengo lako Ni Nini?
 
Katiba ya chadema siijui hivo sijawahi kuosoma lakini kama ni kweli wamekiuka katiba ya chama Chao basi ni vizuri wakalekebisha Hilo kosa .Sio kwamba Pasco anawasakama chadema ila anawasahuri jambo jema kwa maslahi ya Nchi kwa Sababu vyama vya siasa ni vya Wananchi na Nchi.
 
Jibu hoja zake kwa kutumia katiba ya Chadema. Tuliposema Katibu wa Chadema ni dhaifu, hamkutuelewa sasa jionee mwenyewe.
Unaanzaje kujibu huo utopolo? Umeona kuna vifungu vyovyote vya katiba ya Chadema ameambatanisha ili kusapoti hayo madai yake kuwa Mdee alipaswa kuchukuliwa nidhamu na Baraza Kuu?
 
Msaka tonge on air
 
Akijibu haya maswali naomba uni-tag tafadhali.
 
Umesona llb udsn ukafundishwa na baadhi ya wasiojielewa, sasa unatumika kama chambio.

Unakiri chanzo cha hoja yako ni katiba ya CHADEMA iliyoko kwa msajili kwa maana imesajiliwa kisheria. Sasa washauri akina Mdee waende mahakamani wakati rufaa zao zimekataliwa na baraza kuu.

Najua mama bado anateu nadhani karibu utafikia vigezo anavyojitaji ili akuteue.

Sisi hatuwafahamu na tumewafuta rohoni na akilini nwetu.
 
Ngombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…