Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?

Brother P kwaelewa Chadomo ni kazi sana , lile ni kundi la vilaza wenye uthubutu wa kupambana, haiweze kama mkuu wa chama kufeli shule kwa kuzungusha zero aje awe mbadala wa CCM kusaidia taifa ,


CHADEMA kifutwe tu

USSR
Sukumagang baada ya kupigwa pigwa kichwani na vitu vizito vyenye ncha kali, mnatafuta pa kupumulia hewa chafu?!
 
Kama kweli ulisomea sheria na argument yako ndiyo hii basi ulikuwa kilaza mkubwa na hadi leo umebaki kuwa hivyo! Pamoja na kujitutumua sana lakini watu wameendelea kukupuuza hata ndani ya chama chako.

Ni vema ukajisahihisha!
Mwalimu wake wa kwanza ni, Tulia Ackson!
 
Soma sheria na taratibu za chadema ndo utoe comments[emoji116][emoji116][emoji116]

Kanuni za kusimamia shughuli, mwenendo na maadili ya wabunge wa Chadema (2006), kifungu cha 8.0 (a) (x); zinasomeka ifuatavyo; “Chadema itashughulikia matatizo ya viongozi na wanachama kwa kufuata taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa katiba ya chama, wala hata siku moja haitashughulikia mambo kama hayo mahakamani. Mwanachama atakayeshindwa kufuata taratibu na ngazi za chama hatavumiliwa na atafukuzwa uanachama”

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Ndugu labda kama hiyo 'Karma' inafuata maelekezo na matakwa yako.
Lakini Zitto(MM1) et all, hawakuonewa, KWANI walikuwa ni sehemu ya njama za mapinduzi haramu yaliokuwa yanaratibiwa na akina Profesa Kitila Mkumbo (MM2), Mathias Mwigamba(MM3). Mapandikizi wote waliisharudi kwenu CCM wengine wakipitia chama dada ACT.
Marehemu Mama yake Zitto alikuwa mjumbe imara wa Kamati Kuu CHADEMA.
 
Mkuu PASKALI, kuna Jambo nadhani tuliweke sawa hapa. CHADEMA kama Chama hakijakaa kujadili viongozi waliokiuka majukumu ya uongozi wa Chama. Chama kiliketi kwenye CC kujadili UANACHAMA wa WANACHAMA wake waliokiuka Maamuzi Baada ya Uchaguzi/Uchafuzi Mkuu. Na hili la kamati kuu kuwa na mamlaka ya kujadili UANACHAMA wa MWANACHAMA yoyote lipo very clear kwenye ile Ibara ya 5 kifungu 5.4.4 ambapo "Kamati Kuu inaweza Kumfukuza ama kumwachisha MWANACHAMA yoyote kwa Mujibu wa Kanuni za Chama". Inaishia hapo inakuja Ibara ya 5 kifungu 5.4 5 ambapo moja ya kanuni za kukoma UANACHAMA ni "kukosa sifa za uanachama" (Zingatia kukosa SIFA za Uanachama (Sijasema Kukoma Uongozi). Na mwisho ieleweke kwamba mchakato huu tukigeneralize purposes yake ni kwamba ulifanyika kwa lengo la kujadili UANACHAMA wa WANACHAMA 19 kama wana sifa za kuendelea kuwa wanaCDM ama Lah. Hilo lilifanyika.



 
Kifupi ndani ya chadema kuna udicteta mwingi ukitaka kujua rejea kufukuzwa kwa zitto kitila na wengineo hakuna demokrasia ila chama kinaendeshwa kwa mihemko ya viongozi
 

Usimshambulie mtoa mada bali ishambulie mada.
 

HONGERA KWA KUMPA ZA USO. AONGELEE MAMBO YAO YA CCM YA UKUIKWAJI HAKI ZA BINADAMU NA UPIGAJI HELA ZA WALIPA KODI VITU AMBAVYO KAMA ANGEKUWA ANAYO RELEVANCE YOYOTE ILIYOBAKIA ANGEVIONGELEA.
 
Akikujibu hapa, ni kweli jamaa ni hewa
 

Kumbe wee nawe ni kilaza hivyo…?!?
Law udsm ni miaka minne, tuambie ni kwa nini ulitumia zaidi ya miaka minne…!?
 
Kumbe wee nawe ni kilaza hivyo…?!?
Law udsm ni miaka minne, tuambie ni kwa nini ulitumia zaidi ya miaka minne…!?
Hhmmmmhh!
P. Hebu Rudi hapa usafishe hii hali ya hewa. Tafadhali njoo na rula ya meta na kamba upanyooshe hapa pamepinda mno! Welcome Mr. P to clear the air.
 
Wewe ndiyo ulisema yule Raisi mpendwa asivae mask, tukakuonya ukawa ngangal, cha ajabu waliofukuxwa CCM wote hujafanya hiyo kuhojI.

we mzee ni dickhead
 
HONGERA KWA KUMPA ZA USO. AONGELEE MAMBO YAO YA CCM YA UKUIKWAJI HAKI ZA BINADAMU NA UPIGAJI HELA ZA WALIPA KODI VITU AMBAVYO KAMA ANGEKUWA ANAYO RELEVANCE YOYOTE ILIYOBAKIA ANGEVIONGELEA.
Kuna watu wasomi lakini wanajifanya hawaelewi .Kwa nini mwandishi huyu mkongwe hataki kujadili au kueleza watuhumiwa walifika je hapo.Wakati huo huo atueleze anajadili hili akiwa mtu huru au CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…