Ni ubinafsi au unafki, Waarabu wanaosifiwa kuogelea kwenye pesa ni kwanini wanajibana kutoa misaada kwa ndugu zao wapalestina huko Gaza ?

Ni ubinafsi au unafki, Waarabu wanaosifiwa kuogelea kwenye pesa ni kwanini wanajibana kutoa misaada kwa ndugu zao wapalestina huko Gaza ?

Wasaudia si watoaji misaada sana mkuu ndo maana hata kwenye top Philanthropists in the world matajiri wa kisaudia utawatafuta kwa tochi. Ila nchi kama US ina philantropist wa kufa mtu mkuu na US anasadia sana hebu fikiri kwa sasa US anajenga bandari ili kuwasaidia wapalestina wapate misaada fikiri US anajihangaisha kiasi hicho na ndugu za wapalestina tena katika imani wapo!!!!
Unajenga bandari halafu unawapa silaha na pesa israel abomoe just mchezo wao wa kukuza biashara ya silaha hakuna jipya kama una akili, marekani biashara inayompa pesa ni silaha na dunia ikiwa na amani hizo silaha atamuuzia nani?
 
Baada ya kupewa za uso huko kwenye uzi wako wa kipumbavu umekuja huku ili ujifariji sio?

Kwa hiyo kama hawasaidii inaondoa ukweli ya kuwa wao ni matajiri kama dai kwenye huo uzi wako?
Au kutaondoa ukweli kuwa Israel ana ishi kwa misaada kama Tz?

Mbona hujaja hapa kuhoji ni kwann
hiyo Marekani yako inatoa misaada ya mabilion ya $ duniani kote hali ya kuwa ndani ya nchi yake kuna mamilioni ya raia wake ni masikini na wasio kuwa pakulala na wanakufa na baridi na njaa?
Kwann hizo fedha anazo tumia kujifanya ana anasaidia watu wengine kwann asi zitumie kuboresha maisha ya raia wake kwanza?

Ww hujui ya kuwa misaada ni moja wapo ya sera ya mambo ya nje ya USA na chombo cha propaganda anacho tumia kupenyeza ajenda zake chafu hapa ulimwenguni na kulinda ushawishi wake na ndio maana wapo tiyari hata raia wao wafe na baridi kwa kukosa makazi ila misaada kwenye nchi mbali mbali isikosekane?

Ww hujiulizi ni kwann anawapa misaada ya chakula wapalestina alafu anazunguka nyuma anaipa Israel silaha kwenda kuwauwa hao wapalestina anao jifanya anawahurumia, umesha jiuliza hilo?

Alafu hujui kuwa misaada kwa wapalestina ni sawa na kuipunguzia mzigo Israel maana wapalestina wanatawaliwa na Israel hivyo ndo ina jukumu la kuhakikisha wapalestina wana pata mahitaji muhimu kama binadamu maana wao ndo wanawatawala.

Alafu aliye kwambia kuwa hitaji kubwa la wapalestina ni misaada ya chakula na dawa ni nani?
Hitaji kubwa la wapalestina ni kupata taifa lao ili waweze kujitawaka na kujisaidia wenyewe.
Mataifa ya kiarabu yanatoa pesa nyingi kila mwaka kwa ajili wapalestina kupitia kwenye mashirika ya umoja wa mataifa hivyo madai yako sio kweli.
koment ya muislam ikiunga mkono Saudi Arabia kutojitoa kuwasaidia Gaza
 
Back
Top Bottom