Ni uduni na ufinyu wa mawazo kuvibeza vyuo vikuu vingine kwa misingi ya ubora usio wa kimantiki!

Ni uduni na ufinyu wa mawazo kuvibeza vyuo vikuu vingine kwa misingi ya ubora usio wa kimantiki!

Mbona mnalia sana jamani?Haya semeni mnachotaka,mnalilia recognition na attention tu hapa.....bado udsm currently ipo ahead of all of u,as time moves on mkipata more grounds mtaishinda udsm,na hiyo ni maybe.....na kuna watu humu mnatupa mfano mmoja mmoja wa wanafunzi wa vyuo vingine wenye akili,hizo ni sample ndogo sana tu..mtu ana historia nzuri ya kufaulu tangu kindergarten leo wapo udsm halafu una doubt uwezo wake,hata kama alikuja lua na pass mbaya chuo baadae,huyo ni mzuri tu sema circumstances zimeleta tatizo,sasa kimtu kimefluku hapo DIT,basi anadharau CoET yote...acheni bangi.
 
Najivunia sana kusoma udsm.utamu wa degree ya udsm tunauona huku maofisin.
 
Mbona mnalia sana jamani?Haya semeni mnachotaka,mnalilia recognition na attention tu hapa.....bado udsm currently ipo ahead of all of u,as time moves on mkipata more grounds mtaishinda udsm,na hiyo ni maybe.....na kuna watu humu mnatupa mfano mmoja mmoja wa wanafunzi wa vyuo vingine wenye akili,hizo ni sample ndogo sana tu..(mtu ana historia nzuri ya kufaulu tangu kindergarten leo wapo udsm halafu una doubt uwezo wake),hata kama alikuja lua na pass mbaya chuo baadae,huyo ni mzuri tu sema circumstances zimeleta tatizo,sasa kimtu kimefluku hapo DIT,basi anadharau CoET yote...acheni bangi.
MKUU HAPO KWEnye mabano ni uzushi mtupu nina watu kumi wapo udsm sociology na saba PSPA ,WOTE HAO FORM FOUR WALIKUWA NA DIVISION FOUR ILA WALIKUWA NA VI C VITATU, NA DARASA LA SABA WALIFELI ,FORM SIX WALIPATA THREE ZA 13
 
Nafikiri jambo kubwa na vyuo vichanga kuungwa mkono vyuo vikongwe ili kuinua ubora wa elimu yetu.haya kupondana hayatusaidii
 
MKUU HAPO KWEnye mabano ni uzushi mtupu nina watu kumi wapo udsm sociology na saba PSPA ,WOTE HAO FORM FOUR WALIKUWA NA DIVISION FOUR ILA WALIKUWA NA VI C VITATU, NA DARASA LA SABA WALIFELI ,FORM SIX WALIPATA THREE ZA 13

labda waanze kuwachukua leo.otherwise hakunaga mtu mwenye tokeo kama hilo unaeza mkuta udsm.watu wa design hyo utawakuta muccobs,ifm,iaa,saut au mipango.pole sana kwa kupakosa na jilaumu sana kwa kuwa kilaza hadi ukashndwa kuperform vizuri.
 
mkubwa ni mkubwa tu, udsm ni chuo cha taifa, (ukubal ukatae uinuke ukae ukwel ndo huo) infact hata ww unayepinga ulitaman sn kuwa ud ila ukapelea ukaanza "oo.. sizitak mbichi hizi"
 
wakuuuu nilipata date udsm kuna maprof zaidi ya 45 cbe maprof hawazidi 2 sasa ni wapi wanatowa elimu bora?? Ni kipi ni chuo bora?? 2ongee ukweli halisi 2

Profesa Yupi wa udsm amewahi kuwa wakili wa kesi yoyote hapa Tz na akashinda? Field is Quit different with Teaching/Lecturing. Competence ni matokeo ya kusoma + jitihada za mtu binafsi mf Lissu, Au kuna Engineer yupi pale amewahi kumusaidia Dr. Harrison Mwakyembe-RELI na Anga kwani serikali haina ndege hata 1/ Magufuli-barabara kila sku foleni na wao wako Dar tunasota nao kwenye foleni/ Au Mulugo-elimu kila siku ni madudu tu/ Au kilimo na maji kila siku visima hata kama ziwa liko meta 100 na choo tunachimbiwa na PLAN International (Wazungu) tujisaidie. Mawazo mgando endelea na ufinyu wa fikira, wenzio wana peta sn sokoni na kacheti kako ka udsm jina tu.
 
uongo huuu hamna lolote udsm ilikuwa ya zamani hizo za kina,prof.hamud majamba, prof.kabudi,dr.migiro n.k

Tena na huku umekuja kubisha????!!!!

Hebu weka alternative sasa maana wewe ni muumini wa "UDOM ni chuo cha kata"
 
Hivi kwani siku hz kufundishwa na prof au whatever ina matter! Anachofundisha prof kiko tofauti na atakachofundisha asie prof? Then uprof Tanzania? Hao wasiojihangaisha na chochote zaidi ya matumbo yao? Hao maprof 45 wa udsm wameleta mabadiliko gani ya kujivunia ktk nyanja za kisiasa, uchumi, elimu, afya, kilimo na mawasiliano? Kufundishwa na prof au bila prof haiwezi kuundermine skils na ability za mtu. Ingekuwa huko kazini unaenda na list ya maprof walioko chuo ulichosoma ingekuwa balaa! Mimi niko Udom, sijui idadi ya maprof walioko hapa ila namjua prof osaki mtaalam wa curiculum, siwezi kusema he is a good in teaching au ameimpact maisha yangu ya kielimu kivipi cuz hakunaga jipya! Hana tofauti na akifundisha Kambuga au Ndibalema! Bakini na mentality zenu za kitoto ila sie twasonga mbele! Limtu linajidai natokea udsm halafu huko field mkikutana hayajua hata kuandika report mpaka muombe hao hao mnaosema wa vyuo vya kata! Jamani mie am proud to be at udom, the more u look down this institution is the more watu wake tunapambana kuwa gud intelectuals tunaouza ktk ulimwengu wa ajira. Bla bla za ubora, maprof, ukata, ukilaza hzo ni mbwembwe tu! Mtu wa udsm anaeweza akijiproud kuwa alisoma udsm ni aliesom miaka hyo ya 70 mpaka 90 hao wengne ni mbulula tu!

Kwahiyo wewe mpaka leo hujauona mchango wa Maprof wa UDZM katika Tanzania hii au ndio kujipofua penye ukweli?
 
labda waanze kuwachukua leo.otherwise hakunaga mtu mwenye tokeo kama hilo unaeza mkuta udsm.watu wa design hyo utawakuta muccobs,ifm,iaa,saut au mipango.pole sana kwa kupakosa na jilaumu sana kwa kuwa kilaza hadi ukashndwa kuperform vizuri.
MKUU MFUMO WA TCU UNACHUKUA ONE MPAKA THREE KWA VYUO VYOTE , HALAFU SUALA HAO JAMAA WALIOKUWA NA DIVISIONFOUR FORMFour ni kweli ,na formsix walikuwa na iii.13, kama huamini hata tcu wameonyesha udsm cuttof ni 5.5 ikimaanisha D D E NA S YA GS, KUHUSU SUALA LA HISTORIA YA MWANAFUNZI MIMI NILIONGOZA WILAYA DARASA LA SABA NIKAENDA Mzumbe secondary(o-level), advance nimesoma TABORABOYS div one (Specialschool na kichwa cha tanzania),
na sisomi udsm , wakati hao wenye historia mbovu vilaza tangu primary wapo udsm ,
 
mkubwa ni mkubwa tu, udsm ni chuo cha taifa, (ukubal ukatae uinuke ukae ukwel ndo huo) infact hata ww unayepinga ulitaman sn kuwa ud ila ukapelea ukaanza "oo.. Sizitak mbichi hizi"

udsm hamna lolote sikuhizi ilikuwa zamani miaka ya 80 kurudi nyuma sasa hivi ni pakawaida sana na pia ni chaka la vilaza
 
MKUU HAPO KWEnye mabano ni uzushi mtupu nina watu kumi wapo udsm sociology na saba PSPA ,WOTE HAO FORM FOUR WALIKUWA NA DIVISION FOUR ILA WALIKUWA NA VI C VITATU, NA DARASA LA SABA WALIFELI ,FORM SIX WALIPATA THREE ZA 13

Kila.kitu unajua n kila kitu unabisha kwa umri wako tulia saa nyingine jifunze kwa wenzako

We ni kubisha tuu hutoi way forward hata kwenye mjadala mmoja,hebu humu weka basi na mchango wako nini kifanyike ili vyuo vipande viwango!!!!!

Hebu fikiria hili moja mwalimu wa chuo anahandle course work na UE je mfumo huu hauwezi kubadilika na kufanyiwa uboreshaji???!!!!
 
labda waanze kuwachukua leo.otherwise hakunaga mtu mwenye tokeo kama hilo unaeza mkuta udsm.watu wa design hyo utawakuta muccobs,ifm,iaa,saut au mipango.pole sana kwa kupakosa na jilaumu sana kwa kuwa kilaza hadi ukashndwa kuperform vizuri.

HAHAHA UDSM SASA HIVI HAMNA KITU CHUO CHENYEWE AVERAGE40%,hata ukilala unaipata ,tofauti na vyuo vyenye average ya 50%
 
Profesa Yupi wa udsm amewahi kuwa wakili wa kesi yoyote hapa Tz na akashinda? Field is Quit different with Teaching/Lecturing. Competence ni matokeo ya kusoma + jitihada za mtu binafsi mf Lissu, Au kuna Engineer yupi pale amewahi kumusaidia Dr. Harrison Mwakyembe-RELI na Anga kwani serikali haina ndege hata 1/ Magufuli-barabara kila sku foleni na wao wako Dar tunasota nao kwenye foleni/ Au Mulugo-elimu kila siku ni madudu tu/ Au kilimo na maji kila siku visima hata kama ziwa liko meta 100 na choo tunachimbiwa na PLAN International (Wazungu) tujisaidie. Mawazo mgando endelea na ufinyu wa fikira, wenzio wana peta sn sokoni na kacheti kako ka udsm jina tu.

Kwanza Lissu ni product ya udsm,pili,hivi wee mzima kwelii?rreseach yako imebase kwenye matukio ya tv eee?maana watu wote uliowataja hapo ni watu wanaoonekana kwenye TV,basi na wewe umekremisha....tatu,fanya reseach kwenye sector zote udsm alumni wanapofanya kazi,evaluate na uweke majibu hapa kwa numbers...nne,mulugo sio product ya udsm,ni byproduct ya OUT..tano,semeni ukweli,kuna kitu kinawauma mmekosa hamjaenda udsm ndio maana kila kukicha mnafungua haya masred kulalamika...sita,nashauri watu mridhike na vyuo mlipo kwani navyo ni vyuo,mlideserve kua huko,km ulionewa kupangiwa huko lalamikia tcu,acheni kutukanana hapa.
 
Nilikuwa na mentality yakubeza hata masomo nikiwa mdogo nikapaform vema science,nikachaguliwa special schools O-level&A-level,Kwa bahati mbayasikusoma udzm.lakini mentality hiyo haikunisaidia maisha niyaleyale mishahara ni ileile,haina maana kwa ujumla unakimbizwa na lecture&Professors wenye kasumba unanusurika kudisco na GPA mbovu anakuja mwenzio kutoka chuo cha kata na GPA nzuri kukuzidi anakulashavukiulani unaona! mentality ni nzuri lakini haina msaada!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom