Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UDSM:home of
intellectuals...hutaki kalale.
hata mimi nakubali kwani vyuoni kote ndo wapo mintalectuals.
Je wewe ni interlectual? interlectual anakosoa na ana suggest way
foward..sasa wewe zaidi ya kulewa sifa huna msaada.
ni aibu sana kwa wewe kujiita interlectual wa udsm alafu reasoning
capacity yako ni kama vidudu.....UDSM ya baba yako?
its public institution amabapo kila mtu anaweza kujiunga na kusoma.
Mgando wa akili ni m,baya sana....kwa akili yako ulitaka nchi hii
iendelee kua na chuo kimoja milele...kweli unawaza maendeleo kweli wewe
interlectual wa udsm? futa ujinga kwani usipokuisha ukaja nao huku
mtaani baada ya kuhitimu hapo mlimani...utasota as jobless mpaka
utakataa hukusoma udsm....ua persona competence justify ua destiny
usifikiri jina la chuo litakusaida.......vijana wa
udom,mzumbe,sua,muccobs,tumaini,ifm etc nawashauri muendelee kusoma kwa
bidii na kwa uelewa mkubwa waacheni hawa waendelee kubwata na jina la
chuo mkikutana kwa interview ndo watajua ukweli wa mambo kua uwezo
binafsi ndo kila kitu na jina la chuo it does not matter.
Kwanza Lissu ni product ya udsm,pili,hivi wee mzima kwelii?rreseach yako imebase kwenye matukio ya tv eee?maana watu wote uliowataja hapo ni watu wanaoonekana kwenye TV,basi na wewe umekremisha....tatu,fanya reseach kwenye sector zote udsm alumni wanapofanya kazi,evaluate na uweke majibu hapa kwa numbers...nne,mulugo sio product ya udsm,ni byproduct ya OUT..tano,semeni ukweli,kuna kitu kinawauma mmekosa hamjaenda udsm ndio maana kila kukicha mnafungua haya masred kulalamika...sita,nashauri watu mridhike na vyuo mlipo kwani navyo ni vyuo,mlideserve kua huko,km ulionewa kupangiwa huko lalamikia tcu,acheni kutukanana hapa.
maneno mengi ulio andika hapa hata kwenye khanga za kike yapo. Kwa style hii ya tcu sasa hivi hakuna cha udsm au wapi? Selection in popote. Afu kuwa product is not an issue we need results/output of those professors in the normal field. Hivi umekaririshwa research au? Nani ka kwambia research ni primary data tu? Ndo maana nakwambia mnaufinyu wakuelewa au ni matatizo ya kumeza tu.
masahihisho- interlectual ndio nin?
Au ulimaanisha intellectual?
nimeshuhudia mhitimu wa shahada ya engineering katka electronics wa udsm akizidiwa mbinu na kijana wa dit.
Najivunia sana kusoma udsm.utamu wa degree ya udsm tunauona huku maofisin.
sawa lakini nimesahihisha makosa mkuu......nafikiri sio kosa lako ni tatizo la maharagwe uliyokula kwa kipindi cha miezi 18 ukiwa advance.....bado hayajatokahuna lolote mwenyewe umesomea shule za kata form one mpaka six na vi three vyako nenda kilaza mkubwa wewe
sawa lakini nimesahihisha makosa mkuu......nafikiri sio kosa lako ni tatizo la maharagwe uliyokula kwa kipindi cha miezi 18 ukiwa advance.....bado hayajatoka
hapa hakuna cha udsm, chuo bora na amucta pekee.
Hivi ni cha ngapi vile kwa ubora duniani?
Takwimu zinaonyesha kwamba CAPE TOWN UNIVERSITY ambacho ndo cha kwanza AFRICA kipo nafasi ya 359 kidunia sasa hao udsm sijui wangapi? namna karibuni vyuo vikuu vyote AFRICA ni majanga .......
plz wait loading.......Teku je??