Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana tusiwe na ugonjwa wa fikra duni, ni jambo la kipumbavu wewe kama kijana unayejiita msomi na unae tegemewa na jamii yako, kuanza kuvibagua vyuo vingine kwamba si vyuo bali ni taasisi za kuelimishia vilaza, mfano mtu kabisa anasimama na kusema "Tanzania Chuo kikuu pekee ni UDSM", au "Tumaini nacho chuo" "SAUT ndio nini?" au "UDOM ni chuo cha kata" huo kimsingi ni mtindio wa kufikilia unaochagizwa na ujuha wa mawazo na kimsingi elimu yako haijakusaidia, ni jambo la kipuuzi kuvibeza na kuvibagua vyuo kwa reasoning isiyo na mantiki, Tungeonekana wasomi sana na wazalendo kama tungevishindanisha vyuo vyetu katika maswala ya utafiti na uvumbuzi katika tasnia mbalimbali kama Chemical Engineering, Nuclear Physics, Social Science....nk nisiwachoshe na maneno mengi kimsingi, watu makini hupima Ubora wa Mhitimu kwa kuzingatia Uwezo alio nao na si Chuo alichosomea!
MKUU MFUMO WA TCU UNACHUKUA ONE MPAKA THREE KWA VYUO VYOTE , HALAFU SUALA HAO JAMAA WALIOKUWA NA DIVISIONFOUR FORMFour ni kweli ,na formsix walikuwa na iii.13, kama huamini hata tcu wameonyesha udsm cuttof ni 5.5 ikimaanisha D D E NA S YA GS, KUHUSU SUALA LA HISTORIA YA MWANAFUNZI MIMI NILIONGOZA WILAYA DARASA LA SABA NIKAENDA Mzumbe secondary(o-level), advance nimesoma TABORABOYS div one (Specialschool na kichwa cha tanzania),
na sisomi udsm , wakati hao wenye historia mbovu vilaza tangu primary wapo udsm ,
hv n kwl udom n chuo kikubwa cha kata afrka mashark?
:A S-key::A S-key::A S-key::A S-key:Si vyema kubaguana kwa kuzngatia vyuo,hata hvyo ni ukweli usiopingika kuwa UDSM,SUA,MZUMBE na UDOM ni vyuo bora nchini sio kama Saint something.Na huu ndyo ukweli.
Tena na huku umekuja kubisha????!!!!
Hebu weka alternative sasa maana wewe ni muumini wa "UDOM ni chuo cha kata"
Kaka na ww unamiini hivyo?
Mi najua chuo ulichosoma hakikusaidii chochote when it comes to performance
Bidii yako inahitajika sn