Ni uduni na ufinyu wa mawazo kuvibeza vyuo vikuu vingine kwa misingi ya ubora usio wa kimantiki!

Kama unajua kazi za Engineer vizuri usingeandika:
UDSM-COET/FOE wanafundisha
Bachelor of Science in civil engineering kama huelewi maana yake jaribu hata google
hint:its different from Bachelor of Engineering
ila usiwaze sana mkuu:mtaani ni jinsi unavyozichanga n make things happen..full stop
 
Habarini wadau! Hizi habari mnazojadili hapa zinaumiza sana mioyo hasa mtu anaposikia ya kwamba chuo chake Si chochote si lolote wakati yeye amesoma miaka mitatu au minne. Mi ninachoweza kusema nikwamba ukiwa kama msomi wa chuo kikuu chochote Tanzania hutakiwi ' kugeneralize' mambo eti chuo flani vilaza...! Kwa wale waliosoma philosophy watakubaliana nami. Competency ya mtu ipo kwa mtu mmoja mmoja haijalishi anatokea chuo gani, kuna watu wanatoka Tumaini, St. Augustine, st. John,CBE, IFM n.k wako fiti mno na wapo sokoni na wanafanya vizuri sana, UDSM wapo watu wapo fit sana na pia wapo watu vilaza.

Ninachoweza kushauri kwa wale ambao wapo Vyuoni pigeni shule kwa bidii ili msije kuingia ktk kundi la vilaza mtaani, na kwa wale tulio Maliza zamani tuache ushamba wa eti mimi wa UDSM, Mzumbe, DUCE, Tumaini nk, tufanye kazi kwa bidii tutafute pesa na kulijenga taifa kwa pamoja.
 

Masahihisho- Interlectual ndio nin?
au ulimaanisha Intellectual?
 

Maneno mengi ulio andika hapa hata kwenye Khanga za kike yapo. Kwa style hii ya TCU sasa hivi hakuna cha udsm Au wapi? Selection in popote. Afu Kuwa product is not an issue we need results/output of those Professors in the normal field. Hivi umekaririshwa research au? Nani ka kwambia research ni primary data tu? ndo maana nakwambia mnaufinyu wakuelewa au ni matatizo ya kumeza tu.
 

umenena mfumo wa sasa wa tcu haida cha udsm wala cha teku unapelekwa popote hata kama umepata one kama mimi
 
nilibahatika kufanya kazi na wahitmu kadhaa wa hicho chuo wanachokiita ni chuo pekee- ndugu yangu ni vilaza hadi unashangaa hawa watu kweli walienda kusoma au kukua? yaani mtu hata kutuma attachment kenye e-mail ni shida.
 
huna lolote mwenyewe umesomea shule za kata form one mpaka six na vi three vyako nenda kilaza mkubwa wewe
sawa lakini nimesahihisha makosa mkuu......nafikiri sio kosa lako ni tatizo la maharagwe uliyokula kwa kipindi cha miezi 18 ukiwa advance.....bado hayajatoka
 
sawa lakini nimesahihisha makosa mkuu......nafikiri sio kosa lako ni tatizo la maharagwe uliyokula kwa kipindi cha miezi 18 ukiwa advance.....bado hayajatoka

hata hujielewi
 
Takwimu zinaonyesha kwamba CAPE TOWN UNIVERSITY ambacho ndo cha kwanza AFRICA kipo nafasi ya 359 kidunia sasa hao udsm sijui wangapi? namna karibuni vyuo vikuu vyote AFRICA ni majanga .......

Teku je??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…