Ni uhakika kwamba waliotekwa karibu wote tayari wamekufa

Binadamu ni kiumbe mbinafsi sana. Mfano hai ni mafisadi.
 
Mfumo wa kilimwengu nje ya dini unamfumo wake kitu inaitwa karma!,
#KARMA.
KARMA NI KUJILIPA KISASI AUTOMATIC,SWALI,JE UNAJUAJE PENGINE WAO NDIYO WAMELIPA KWA UOVU WAO? HUKO ZAMANI.
[°]Things are so complex..
 
Kwa Polepole sidhani, ikitokea huko ndani visasi havitakoma hadi CCM itaanguka na vitaendelea hata baada ya kupasuka. Yule Polepole si mtu mdogo, sio mwepesi!
Anaweza kufa kwa maradhi ya kawaida au sonona.
Suala lake lazima watu watamlipa kisasi.
Ujumbe aliokuwa anatoa na kwa heshima....
Mungu tunusuru na visasi wape hekima viongozi wetu waache njia mbaya wanayopita.
 
Kwanini una imani Pole pole yupo?
Yule baba na tabasamu lake maskini😢
CCM pamoja na kuvunja miiko yao wenyewe uchaguzi uliopita lakini naamini ipo mistari hawawezi kuvuka. Wengi wanaamini Polepole anajua mengi na ndio hatari yenyewe adui zake wanaiona lakini siamini Polepole anayofahamu huko kwenye corridor zao hayafahamiki. Nafikiri after sometime ataachiwa labda kwa masharti ambayo yatamfunga kinywa. Siamini mfumo mzima unaweza kukubali huo uwe mwisho wa Polepole. Btw bado wataitaka akili yake, ni resource muhimu.
 
Kwa Polepole sidhani, ikitokea huko ndani visasi havitakoma hadi CCM itaanguka na vitaendelea hata baada ya kupasuka. Yule Polepole si mtu mdogo, sio mwepesi!
Kwa huyu Polepole amepata mshahara wa dhambi yake. Ukiwa mtu wa mfumo lazima uishi na siri za mfumo. Kitendo cha kuanza kuropoka mambo anayoyajua kuhusu Serikali ilikuwa sawa na kusaini death warrant yake yeye mwenyewe.

Polepole ni muasisi wa michezo michafu ya kuteka na kuua enzi wakiwa na Magufuli. No sympathies
 
Vyovyote itakavyokua wakimuacha mzima ni jambo zuri

Japo mimi naamini hawa watu kwa walichofanya mo29 hawashindwi kumzima kwa maslahi yao
 
una uhakika?
hizi assumptions narrative hazina faida bila backed up evidence.
tukiongeza transparency kidogo kwenye taarifa kama hizi, tutapunguza hata occurance rate ya haya matukio.
 

We arrive with nothing, we struggle for everything and in the end we leave nothing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…