Ni uhakika kwamba waliotekwa karibu wote tayari wamekufa

Ni uhakika kwamba waliotekwa karibu wote tayari wamekufa

Yes bado yupo naogopa wanaweza kua wanachukua taaharifa zake taratibu alafu wanadondosha mmoja mmoja cycle ya Polepole Kifo cha Lukuvi na Jenista bado nina mashaka sana
🤐🤐🤐
 
Kwa Polepole sidhani, ikitokea huko ndani visasi havitakoma hadi CCM itaanguka na vitaendelea hata baada ya kupasuka. Yule Polepole si mtu mdogo, sio mwepesi!
Kwa hiyo hiyo huo ukubwa wa Polepole hao watu wake wanasubiri afe kwanza ndio waanzishe visasi visivyokoma Hadi CCM ianguke na vitaendelea baada ya kupasuka?
Je? Hao watu wa Polepole huko ndani Kwa Sasa hawajali mateso anayoyapitia Mpendwa wao huko umatekani?
Kumbuka kwa maisha anayoishi huko ni mateso kwa kwenda mbele.
Pengine anapigwa Kila siku,ananyimwa chakula akipendacho,anayimwa haki yake ya tendo la ndoa,anakosa wakati wa kivaa vizuri,hapati muda wa kuembea au kutembelewa,haendi kwenye starehe zake kama club,movie au football,pengine analawitiwa,hachati wala hatazami social media,pengine anatwezwa utu wake,na pengine anaeishi Kwa kudhihakiwa.
Hebu fikiria ni mateso na maumivu na machungu kiasi Gani pale wanapokuja kukuona au kukucheka wake aliokua anawaita wahuni na kitaja maovu Yao,Sasa wanakuja kumuangalia maisha anayoishi.
Hao watu wa Polepole ni wapuuzi TU,walichotakiwa ni kumuokoa Sasa hivi,sio kuanzisha vurugu akiwa amekwisha kufa.
Haisaidii kitu.
 
CCM pamoja na kuvunja miiko yao wenyewe uchaguzi uliopita lakini naamini ipo mistari hawawezi kuvuka. Wengi wanaamini Polepole anajua mengi na ndio hatari yenyewe adui zake wanaiona lakini siamini Polepole anayofahamu huko kwenye corridor zao hayafahamiki. Nafikiri after sometime ataachiwa labda kwa masharti ambayo yatamfunga kinywa. Siamini mfumo mzima unaweza kukubali huo uwe mwisho wa Polepole. Btw bado wataitaka akili yake, ni resource muhimu.
Forget about him, his chapter was closed long ago
 
Back
Top Bottom