Ni uhakika kwamba waliotekwa karibu wote tayari wamekufa

Ni kweli unayosema ila ni kama dunia inachagua wenye nguvu na wanyonge wanaangamia na kutoweka , kama wasipo jipambania , hiyo ndio survival of the fittest.
Na kamwe haiwezi tokea wanyonge wakaisha.. dunja ipo hivyo, hata leo abaki elon musk na billgate lazima mnyonge atakuwepo.

Kikubwa tu katika kuusaka ugali wetu, tusikanyage ugali wa wengine
 
Mzanzibari anayeenda kwa jina la Sumai anatajwa sana mitandaoni kutumwa na Bashite kufanya uharamia hii lini amehojiwa hata siku moja?
 
Jamani, njoooni basi bathi tulisiane watanganyika mbona wakaidi hivyo🤣🤣🤣
 
Na kamwe haiwezi tokea wanyonge wakaisha.. dunja ipo hivyo, hata leo abaki elon musk na billgate lazima mnyonge atakuwepo.

Kikubwa tu katika kuusaka ugali wetu, tusikanyage ugali wa wengine
Mfumo tu wa kusaka chakula ni wakukanyagana, labda kusaka ugali ndio mnaweza msikanyagane bwashee
 
Hapa mwenyewe nipo usingizini bwashee
Ndio maana nilijua tu, hizi sio akili zako😂😂,
mkuu Unaota jua ama unaota ndoto..
Anaglia ikija ile ya kubanwa na hajaa unaenda uchochoroni kukojoa, shtuka amka uende chooni
 
Kwa Polepole sidhani, ikitokea huko ndani visasi havitakoma hadi CCM itaanguka na vitaendelea hata baada ya kupasuka. Yule Polepole si mtu mdogo, sio mwepesi!
Kwani Polepole ndio nani boss? Ungemwambia Polepole kuwa mchezo wa utekaji aliokuwa anaona kama kinga ya kumlinda mzalendo Magufuli, iko siku naye atatekwa angeishia kukucheka.
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mwenye uhitaji wa kuku wa kienyeji kuanzia 500 kwa bei ya ofa nipo hapa! Njooo ukule makuku original hahaha acha na haya mavitu mkuu.
 
Samia ndio sura halisi ya shetani jinsi alivyo
 
Kila UBAYA utalipwa
 
PolePole bado yupo mzima
Yes bado yupo naogopa wanaweza kua wanachukua taaharifa zake taratibu alafu wanadondosha mmoja mmoja cycle ya Polepole Kifo cha Lukuvi na Jenista bado nina mashaka sana
 
Kwa Polepole sidhani, ikitokea huko ndani visasi havitakoma hadi CCM itaanguka na vitaendelea hata baada ya kupasuka. Yule Polepole si mtu mdogo, sio mwepesi!
Mkuu kwa zile damu nilizoziona pale kama ile video ya nyumbani kwa Mdude niliweka roughly siku 3 tu asipopatikana basi nae alifuata njia ile ile.

Jambo la kushangaza watu hufikiri watekaji hawajulikani , ila kimsingi kilichofanyika kuna watu wanakijua sasa watalipaje hapo ndio suala lingine.

Baada ya hao wahuni kufanya kosa Sativa akarudi hai na uliona jinsi alivyowatoa kijasho hadi leo wanamsaka huko alipo ndio ije kuwa rahisi Polepole wakubali arudi hai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…