Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
- Thread starter
-
- #21
Hunitishi demu wewe! Hahaaa,!Sisi mimi na mke wangu. Kupanick hakutakisaidia chochote ww sukuma gang. Kama umeshanyweshwa vijibia mshenzi na wanaume, basi hapa pombe itakata. Ngiri jike ww.
Wote Ukoo wa Panya buku!?!!Ndiyo, ni ujinga na ujuha Mkubwa kwa wana CCM wachache wanaoamini kuwa, bila kuviponda na kudhihaki kazi za Hayati JPM na hata kumdhihaki yeye mwenyewe JPM, watu hawatatega masikio yao kusikia yale anafanya Rais Samia kwa sasa! Au kumsikiliza.
Kwani kinachofanywa na wana CCM wahuni, kuponda na kuzodoa kazi zilizofanywa kwa ushirikiano wa JPM na aliyekuwa Makamo wa Rais ambaye sasa ndiye Rais wa TZ, kina maana gani? Kama sio akili fupi kudhani wasipofanya hivyo, maana yake itakuwa vigumu kwa watanzania wengi sana kurudisha masikio yao kwa rais wa sasa!
Je? Akili yao wanaamini kiatu kile cha JPM ni kikubwa mno kwa maana hiyo wanaamua kukipunguza kikatili kwa mafyekeo na mapanga?
Swali langu ni kwamba kwa hao wana CCM wajinga wajinga wenye kuamini hivyo!
Je, JPM alikuwa Rais kupitia chama gani?
Je, Mh Rais aliyepo sasa, anaongoza Serikali kupitia chama gani?
Je, JPM, alikuwa akitekeleza ilani ya chama gani, na Je, Mh Samia, anatekereza Ilani ya chama gani?
Kwa akili zenu fupi, Mnadhani sasa, mkimchafua JPM, macho ya Watanzania yatapigwa upofu yasiuone ujenzi wa SGR na JKHP?
Mnataka wafumbe macho ili wasione zile hospitali za Rufaa Chatto, Mara, vituo vya afya, madege Yale, na mageuzi makubwa katika kila wizara?
Mnafikiri kwamba, Watanzania ni wepesi hivyo kusahau na wajinga kama mlivyo nyinyi chawa msiojua ni kitu kipi cha kujivunia kwa chama chenu ovu?
Chama ambacho ilikuwa ukivaa sare za CCM unazomewa na hata watoto mitaani?
Chama ambacho karibu kila mmoja alikuwa amechafuka kwa uwizi na kujilimbikizia Mali?
Na kwa tarifa yenu, subirini 2025
Watanzania hawajasahau uovu wenu na mnaoendelea kumchafua kiongozi aliyeleta unafuu kwa wanyonge wengi kupenda nchi na kufanya kazi zao kwa amani bila bughudha
Nchi ilifikia mahali, masikini ndio wanaofungwa wao tu magerezani
Masikini walikuwa wakilima, yie mnavuna?
Wakila, nyie ndio mnashiba?
Mkiugua nyie, wao ndio wanakufa?
Wakinunua viwanja, nyie mnajenga na kuwasweka magerezani kwa jeuri ya fedha zenu, Masikini ilikuwa hawezi kupata haki kokote?
Mnadhani ni chepesi vile kwao kumsahau JPM
Tafadhari, muunganisheni Mama kwenye cheni hiyo ya mambo mazuri walioyafanya wakiwa wrote! kamwe msimtenge nayo enyi chawa wa CCM!
Hunitishi demu wewe! Hahaaa,!
Mbona utatulia tuu we fisi!
Watu kama ninyi ndio mnaomfanya marehemu kila siku aendelee kusemwa. Threads kama hizi haziwezi kumfanya marehemu asisemwe. Unapotaka kuzuia mtu asisemwe, ukweli ni kuwa ndiyo atasemwa zaidi.Ndiyo, ni ujinga na ujuha Mkubwa kwa wana CCM wachache wanaoamini kuwa, bila kuviponda na kudhihaki kazi za Hayati JPM na hata kumdhihaki yeye mwenyewe JPM, watu hawatatega masikio yao kusikia yale anafanya Rais Samia kwa sasa! Au kumsikiliza.
Kwani kinachofanywa na wana CCM wahuni, kuponda na kuzodoa kazi zilizofanywa kwa ushirikiano wa JPM na aliyekuwa Makamo wa Rais ambaye sasa ndiye Rais wa TZ, kina maana gani? Kama sio akili fupi kudhani wasipofanya hivyo, maana yake itakuwa vigumu kwa watanzania wengi sana kurudisha masikio yao kwa rais wa sasa!
Je? Akili yao wanaamini kiatu kile cha JPM ni kikubwa mno kwa maana hiyo wanaamua kukipunguza kikatili kwa mafyekeo na mapanga?
Swali langu ni kwamba kwa hao wana CCM wajinga wajinga wenye kuamini hivyo!
Je, JPM alikuwa Rais kupitia chama gani?
Je, Mh Rais aliyepo sasa, anaongoza Serikali kupitia chama gani?
Je, JPM, alikuwa akitekeleza ilani ya chama gani, na Je, Mh Samia, anatekereza Ilani ya chama gani?
Kwa akili zenu fupi, Mnadhani sasa, mkimchafua JPM, macho ya Watanzania yatapigwa upofu yasiuone ujenzi wa SGR na JKHP?
Mnataka wafumbe macho ili wasione zile hospitali za Rufaa Chatto, Mara, vituo vya afya, madege Yale, na mageuzi makubwa katika kila wizara?
Mnafikiri kwamba, Watanzania ni wepesi hivyo kusahau na wajinga kama mlivyo nyinyi chawa msiojua ni kitu kipi cha kujivunia kwa chama chenu ovu?
Chama ambacho ilikuwa ukivaa sare za CCM unazomewa na hata watoto mitaani?
Chama ambacho karibu kila mmoja alikuwa amechafuka kwa uwizi na kujilimbikizia Mali?
Na kwa tarifa yenu, subirini 2025
Watanzania hawajasahau uovu wenu na mnaoendelea kumchafua kiongozi aliyeleta unafuu kwa wanyonge wengi kupenda nchi na kufanya kazi zao kwa amani bila bughudha
Nchi ilifikia mahali, masikini ndio wanaofungwa wao tu magerezani
Masikini walikuwa wakilima, yie mnavuna?
Wakila, nyie ndio mnashiba?
Mkiugua nyie, wao ndio wanakufa?
Wakinunua viwanja, nyie mnajenga na kuwasweka magerezani kwa jeuri ya fedha zenu, Masikini ilikuwa hawezi kupata haki kokote?
Mnadhani ni chepesi vile kwao kumsahau JPM
Tafadhari, muunganisheni Mama kwenye cheni hiyo ya mambo mazuri walioyafanya wakiwa wrote! kamwe msimtenge nayo enyi chawa wa CCM!
Ndiyo, ni ujinga na ujuha Mkubwa kwa wana CCM wachache wanaoamini kuwa, bila kuviponda na kudhihaki kazi za Hayati JPM na hata kumdhihaki yeye mwenyewe JPM, watu hawatatega masikio yao kusikia yale anafanya Rais Samia kwa sasa! Au kumsikiliza.
Kwani kinachofanywa na wana CCM wahuni, kuponda na kuzodoa kazi zilizofanywa kwa ushirikiano wa JPM na aliyekuwa Makamo wa Rais ambaye sasa ndiye Rais wa TZ, kina maana gani? Kama sio akili fupi kudhani wasipofanya hivyo, maana yake itakuwa vigumu kwa watanzania wengi sana kurudisha masikio yao kwa rais wa sasa!
Je? Akili yao wanaamini kiatu kile cha JPM ni kikubwa mno kwa maana hiyo wanaamua kukipunguza kikatili kwa mafyekeo na mapanga?
Swali langu ni kwamba kwa hao wana CCM wajinga wajinga wenye kuamini hivyo!
Je, JPM alikuwa Rais kupitia chama gani?
Je, Mh Rais aliyepo sasa, anaongoza Serikali kupitia chama gani?
Je, JPM, alikuwa akitekeleza ilani ya chama gani, na Je, Mh Samia, anatekereza Ilani ya chama gani?
Kwa akili zenu fupi, Mnadhani sasa, mkimchafua JPM, macho ya Watanzania yatapigwa upofu yasiuone ujenzi wa SGR na JKHP?
Mnataka wafumbe macho ili wasione zile hospitali za Rufaa Chatto, Mara, vituo vya afya, madege Yale, na mageuzi makubwa katika kila wizara?
Mnafikiri kwamba, Watanzania ni wepesi hivyo kusahau na wajinga kama mlivyo nyinyi chawa msiojua ni kitu kipi cha kujivunia kwa chama chenu ovu?
Chama ambacho ilikuwa ukivaa sare za CCM unazomewa na hata watoto mitaani?
Chama ambacho karibu kila mmoja alikuwa amechafuka kwa uwizi na kujilimbikizia Mali?
Na kwa tarifa yenu, subirini 2025
Watanzania hawajasahau uovu wenu na mnaoendelea kumchafua kiongozi aliyeleta unafuu kwa wanyonge wengi kupenda nchi na kufanya kazi zao kwa amani bila bughudha
Nchi ilifikia mahali, masikini ndio wanaofungwa wao tu magerezani
Masikini walikuwa wakilima, yie mnavuna?
Wakila, nyie ndio mnashiba?
Mkiugua nyie, wao ndio wanakufa?
Wakinunua viwanja, nyie mnajenga na kuwasweka magerezani kwa jeuri ya fedha zenu, Masikini ilikuwa hawezi kupata haki kokote?
Mnadhani ni chepesi vile kwao kumsahau JPM
Tafadhari, muunganisheni Mama kwenye cheni hiyo ya mambo mazuri walioyafanya wakiwa wrote! kamwe msimtenge nayo enyi chawa wa CCM!
Walivyokuwa wanamsifia JPM, sasa wanasema alikuwa kichaa, unafiki ulioje?CCM ni wanafiki sn hata Samia akimaliza watamponda sababu ya vyeo
Ni wewe tu na utaishia wewe tuu mbibi wewe kuuuza mwili wako na ubibi wote huo! kenge mkubwaMimi nitulizwe na ww changu uliyejiunga hapa jukwaani mwaka jana?!
Ni wewe tu na utaishia wewe tuu mbibi wewe kuuuza mwili wako na ubibi wote huo! kenge mkubwa
Unaamini hao wataopewa nchi watakuwa bora zaidi ya ccm (angalia huko kwenye vyama vyao)? Ni bora ccm watawale kuliko hawa wahuni akina HecheGawaneni fito ili Tanzania ipate Uhuru kutoka kwenu Wakoloni Weusi (CCM)
Huyo JPM wako vitoto vidogo vikamshinda, vikamtoa roho.......Hata wafanye nini, lakini ukweli ni kwamba, JPM amewashinda kwa mbali kabisa. Wanashindana na Marehemu, na bado anawashinda.
Ni aibu kubwa sana tena sana.
RIP, JPM BABA YETU MPENDWA.
CCM ni kusanyiko la wahuniWalivyokuwa wanamsifia JPM, sasa wanasema alikuwa kichaa, unafiki ulioje?
CCM kumejaa laana tupuAtapondwa mpaka atamani kufa.
1. Alikopa sana sasa nchi ina madeni makubwa
2. Alisafiri sana nje na kuligharimu taifa. Kumbuka rais akitoka nje anaweka bilion mbili mfukoni tofauti na gharama zingine
3. Alishindwa kuendeleza miradi ya hayati
4....
5....
Ajabu watakaosema hayo ni hawahawa wanaomsifu leo wakitaka teuzi.
Unafiki adhabu yake ni jehanamu