Ni ujinga kudhani kuwa ili watu watege masikio kwa Rais Samia ni kuviponda vitu alivyofanya Hayati Magufuli

Paulsylvester

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2021
Posts
1,464
Reaction score
3,379
Ndiyo, ni ujinga na ujuha Mkubwa kwa wana CCM wachache wanaoamini kuwa, bila kuviponda na kudhihaki kazi za Hayati JPM na hata kumdhihaki yeye mwenyewe JPM, watu hawatatega masikio yao kusikia yale anafanya Rais Samia kwa sasa! Au kumsikiliza.

Kwani kinachofanywa na wana CCM wahuni, kuponda na kuzodoa kazi zilizofanywa kwa ushirikiano wa JPM na aliyekuwa Makamo wa Rais ambaye sasa ndiye Rais wa TZ, kina maana gani? Kama sio akili fupi kudhani wasipofanya hivyo, maana yake itakuwa vigumu kwa watanzania wengi sana kurudisha masikio yao kwa rais wa sasa!

Je? Akili yao wanaamini kiatu kile cha JPM ni kikubwa mno kwa maana hiyo wanaamua kukipunguza kikatili kwa mafyekeo na mapanga?

Swali langu ni kwamba kwa hao wana CCM wajinga wajinga wenye kuamini hivyo!

Je, JPM alikuwa Rais kupitia chama gani?

Je, Mh Rais aliyepo sasa, anaongoza Serikali kupitia chama gani?

Je, JPM, alikuwa akitekeleza ilani ya chama gani, na Je, Mh Samia, anatekereza Ilani ya chama gani?

Kwa akili zenu fupi, Mnadhani sasa, mkimchafua JPM, macho ya Watanzania yatapigwa upofu yasiuone ujenzi wa SGR na JKHP?

Mnataka wafumbe macho ili wasione zile hospitali za Rufaa Chatto, Mara, vituo vya afya, madege Yale, na mageuzi makubwa katika kila wizara?

Mnafikiri kwamba, Watanzania ni wepesi hivyo kusahau na wajinga kama mlivyo nyinyi chawa msiojua ni kitu kipi cha kujivunia kwa chama chenu ovu?

Chama ambacho ilikuwa ukivaa sare za CCM unazomewa na hata watoto mitaani?

Chama ambacho karibu kila mmoja alikuwa amechafuka kwa uwizi na kujilimbikizia Mali?

Na kwa tarifa yenu, subirini 2025

Watanzania hawajasahau uovu wenu na mnaoendelea kumchafua kiongozi aliyeleta unafuu kwa wanyonge wengi kupenda nchi na kufanya kazi zao kwa amani bila bughudha

Nchi ilifikia mahali, masikini ndio wanaofungwa wao tu magerezani

Masikini walikuwa wakilima, yie mnavuna?

Wakila, nyie ndio mnashiba?

Mkiugua nyie, wao ndio wanakufa?

Wakinunua viwanja, nyie mnajenga na kuwasweka magerezani kwa jeuri ya fedha zenu, Masikini ilikuwa hawezi kupata haki kokote?

Mnadhani ni chepesi vile kwao kumsahau JPM

Tafadhari, muunganisheni Mama kwenye cheni hiyo ya mambo mazuri walioyafanya wakiwa wrote! kamwe msimtenge nayo enyi chawa wa CCM.
 
Tafadhari, muunganisheni Mama kwenye cheni hiyo ya mambo mazuri walioyafanya wakiwa wrote! kamwe msimtenge nayo enyi chawa wa CCM!
Hivi huyo mnaemuabudu! Kwani Kuna siku atarudi nakuwaadhibu wale ambao awamsifu na kumuabudu?!au,

Utadhani yeye ndio muanzilishi wa Hii Tanzania, mbona mkapa kafanya mambo makubwa zaidi lakini hatusikii akisifiwa ,

Samia amepandisha maslai ya wafanyakazi,ambao walisahaulika kwa miaka yote mitano ya awamu iliyopita,na mengine mengi mazuri, kwaiyo mnataka Samia asipewe sifa kisa tu serikali yake haiteki watu nakuua
 
hivi huyo mnaemuabudu! Kwani Kuna siku atarudi nakuwaadhibu wale ambao awamsifu na kumuabudu?!au...
Asiyetaka apewe sifa Samia kulingana na usimamizi bora wa utawala wake ni mpumbavu

Ila anayepinga kupewa sifa kwa JPM ni mpumbavu na mjinga tu kama wewe,!
 
Ndiyo, ni ujinga na ujuha Mkubwa kwa wana CCM wachache wanaoamini kuwa, bila kuviponda na kudhihaki kazi za Hayati JPM na hata kumdhihaki yeye mwenyewe JPM, watu hawatatega masikio yao kusikia yale anafanya Rais Samia kwa sasa! Au kumsikiliza.

Kwani kinachofanywa na wana CCM wahuni, kuponda na kuzodoa kazi zilizofanywa kwa ushirikiano wa JPM na aliyekuwa Makamo wa Rais ambaye sasa ndiye Rais wa TZ, kina maana gani? Kama sio akili fupi kudhani wasipofanya hivyo, maana yake itakuwa vigumu kwa watanzania wengi sana kurudisha masikio yao kwa rais wa sasa!

Je? Akili yao wanaamini kiatu kile cha JPM ni kikubwa mno kwa maana hiyo wanaamua kukipunguza kikatili kwa mafyekeo na mapanga?

Swali langu ni kwamba kwa hao wana CCM wajinga wajinga wenye kuamini hivyo!

Je, JPM alikuwa Rais kupitia chama gani?

Je, Mh Rais aliyepo sasa, anaongoza Serikali kupitia chama gani?

Je, JPM, alikuwa akitekeleza ilani ya chama gani, na Je, Mh Samia, anatekereza Ilani ya chama gani?

Kwa akili zenu fupi, Mnadhani sasa, mkimchafua JPM, macho ya Watanzania yatapigwa upofu yasiuone ujenzi wa SGR na JKHP?

Mnataka wafumbe macho ili wasione zile hospitali za Rufaa Chatto, Mara, vituo vya afya, madege Yale, na mageuzi makubwa katika kila wizara?

Mnafikiri kwamba, Watanzania ni wepesi hivyo kusahau na wajinga kama mlivyo nyinyi chawa msiojua ni kitu kipi cha kujivunia kwa chama chenu ovu?

Chama ambacho ilikuwa ukivaa sare za CCM unazomewa na hata watoto mitaani?

Chama ambacho karibu kila mmoja alikuwa amechafuka kwa uwizi na kujilimbikizia Mali?

Na kwa tarifa yenu, subirini 2025

Watanzania hawajasahau uovu wenu na mnaoendelea kumchafua kiongozi aliyeleta unafuu kwa wanyonge wengi kupenda nchi na kufanya kazi zao kwa amani bila bughudha

Nchi ilifikia mahali, masikini ndio wanaofungwa wao tu magerezani

Masikini walikuwa wakilima, yie mnavuna?

Wakila, nyie ndio mnashiba?

Mkiugua nyie, wao ndio wanakufa?

Wakinunua viwanja, nyie mnajenga na kuwasweka magerezani kwa jeuri ya fedha zenu, Masikini ilikuwa hawezi kupata haki kokote?

Mnadhani ni chepesi vile kwao kumsahau JPM

Tafadhari, muunganisheni Mama kwenye cheni hiyo ya mambo mazuri walioyafanya wakiwa wrote! kamwe msimtenge nayo enyi chawa wa CCM!
NDIO TABIA ZA WANACCM UNAFIKI NA UBINAFSI HATA MAGUFULI ALIMPONDA JAKAYA
 
CCM ni wanafiki sn hata Samia akimaliza watamponda sababu ya vyeo
Atapondwa mpaka atamani kufa.
1. Alikopa sana sasa nchi ina madeni makubwa
2. Alisafiri sana nje na kuligharimu taifa. Kumbuka rais akitoka nje anaweka bilion mbili mfukoni tofauti na gharama zingine

3. Alishindwa kuendeleza miradi ya hayati
4....
5....

Ajabu watakaosema hayo ni hawahawa wanaomsifu leo wakitaka teuzi.

Unafiki adhabu yake ni jehanamu
 
Haswaa!!
 
Ndiyo, ni ujinga na ujuha Mkubwa kwa wana CCM wachache wanaoamini kuwa, bila kuviponda na kudhihaki kazi za Hayati JPM na hata kumdhihaki yeye mwenyewe JPM, watu hawatatega masikio yao kusikia yale anafanya Rais Samia kwa sasa! Au kumsikiliza.

Kwani kinachofanywa na wana CCM wahuni, kuponda na kuzodoa kazi zilizofanywa kwa ushirikiano wa JPM na aliyekuwa Makamo wa Rais ambaye sasa ndiye Rais wa TZ, kina maana gani? Kama sio akili fupi kudhani wasipofanya hivyo, maana yake itakuwa vigumu kwa watanzania wengi sana kurudisha masikio yao kwa rais wa sasa!

Je? Akili yao wanaamini kiatu kile cha JPM ni kikubwa mno kwa maana hiyo wanaamua kukipunguza kikatili kwa mafyekeo na mapanga?

Swali langu ni kwamba kwa hao wana CCM wajinga wajinga wenye kuamini hivyo!

Je, JPM alikuwa Rais kupitia chama gani?

Je, Mh Rais aliyepo sasa, anaongoza Serikali kupitia chama gani?

Je, JPM, alikuwa akitekeleza ilani ya chama gani, na Je, Mh Samia, anatekereza Ilani ya chama gani?

Kwa akili zenu fupi, Mnadhani sasa, mkimchafua JPM, macho ya Watanzania yatapigwa upofu yasiuone ujenzi wa SGR na JKHP?

Mnataka wafumbe macho ili wasione zile hospitali za Rufaa Chatto, Mara, vituo vya afya, madege Yale, na mageuzi makubwa katika kila wizara?

Mnafikiri kwamba, Watanzania ni wepesi hivyo kusahau na wajinga kama mlivyo nyinyi chawa msiojua ni kitu kipi cha kujivunia kwa chama chenu ovu?

Chama ambacho ilikuwa ukivaa sare za CCM unazomewa na hata watoto mitaani?

Chama ambacho karibu kila mmoja alikuwa amechafuka kwa uwizi na kujilimbikizia Mali?

Na kwa tarifa yenu, subirini 2025

Watanzania hawajasahau uovu wenu na mnaoendelea kumchafua kiongozi aliyeleta unafuu kwa wanyonge wengi kupenda nchi na kufanya kazi zao kwa amani bila bughudha

Nchi ilifikia mahali, masikini ndio wanaofungwa wao tu magerezani

Masikini walikuwa wakilima, yie mnavuna?

Wakila, nyie ndio mnashiba?

Mkiugua nyie, wao ndio wanakufa?

Wakinunua viwanja, nyie mnajenga na kuwasweka magerezani kwa jeuri ya fedha zenu, Masikini ilikuwa hawezi kupata haki kokote?

Mnadhani ni chepesi vile kwao kumsahau JPM

Tafadhari, muunganisheni Mama kwenye cheni hiyo ya mambo mazuri walioyafanya wakiwa wrote! kamwe msimtenge nayo enyi chawa wa CCM!
Wapi walipoponda hivyo vya JPM wako?

Harafu kama aliharibu ulitaka wasimtolee mfano?

Kwanza hiyo Mwendazake wako alokuwa hapendi kujitanabaisha na chama ,Bali yeye binafsi na ndio alikuwa anasema Tanzania ya Magufuli mara Magufuli ametoa pesa and many such nonsense..

Kwa hiyo anavuna alichopanda na wewe shabiki wake tulia sindano ikuingie usijifanye hujui haya.
 
Ndiyo nyie walengwa wa Uzi huu!

Na kama umeusoma vema! Tukubaliane kuwa, wewe ni miongoni mwa ma CCM majinga majinga yasiyojielewa!

Hivi unaelewa kwamba, JPM aliyekuwa makamo wake ndiye Raisi wetu wa sasa?

Kwa hiyo unathubutu kusema walitenda mambo ya ajabu siyo?
 
Jibu hoja hapo juu,kama alivurunda na alikuwa hataki kujinasibisha na CCM lazima abebe mzigo wa matendo yake..

Sina mda wa kusoma uchafu wako wote.
 
Kuna mahali umekaa ki papasi hutaki kuachia unanyonya, na inabidi utoke mishipa kutetea ulipong'ata ili mkono uingie kwa kimywa?

Endelea mkuu
 
CCM wanasahau kwamba mpaka sasa watanzania hawajaonja serikali mpya nje ya CCM,Kumbe wanaCCM kuendelea kumponda JPM ni kujiponda wenyewe ss watanzania tunajua CCM ni walewale hakuna cha SAMIA SULUHU HASSAN wala JOHN POMBE MAGUFULI.Kumbe CCM ia che tabia ya kujidharau na kujivua nguo.Magufuli ni mwana CCM na atabakia hivyo bila kubadilika na SAMIA ni CCM iko hivyo.
 
Ndiyo, ni ujinga na ujuha Mkubwa kwa wana CCM wachache wanaoamini kuwa, bila kuviponda na kudhihaki kazi za Hayati JPM na hata kumdhihaki yeye mwenyewe JPM, watu hawatatega masikio yao kusikia yale anafanya Rais Samia kwa sasa! Au kumsikiliza.

Kwani kinachofanywa na wana CCM wahuni, kuponda na kuzodoa kazi zilizofanywa kwa ushirikiano wa JPM na aliyekuwa Makamo wa Rais ambaye sasa ndiye Rais wa TZ, kina maana gani? Kama sio akili fupi kudhani wasipofanya hivyo, maana yake itakuwa vigumu kwa watanzania wengi sana kurudisha masikio yao kwa rais wa sasa!

Je? Akili yao wanaamini kiatu kile cha JPM ni kikubwa mno kwa maana hiyo wanaamua kukipunguza kikatili kwa mafyekeo na mapanga?

Swali langu ni kwamba kwa hao wana CCM wajinga wajinga wenye kuamini hivyo!

Je, JPM alikuwa Rais kupitia chama gani?

Je, Mh Rais aliyepo sasa, anaongoza Serikali kupitia chama gani?

Je, JPM, alikuwa akitekeleza ilani ya chama gani, na Je, Mh Samia, anatekereza Ilani ya chama gani?

Kwa akili zenu fupi, Mnadhani sasa, mkimchafua JPM, macho ya Watanzania yatapigwa upofu yasiuone ujenzi wa SGR na JKHP?

Mnataka wafumbe macho ili wasione zile hospitali za Rufaa Chatto, Mara, vituo vya afya, madege Yale, na mageuzi makubwa katika kila wizara?

Mnafikiri kwamba, Watanzania ni wepesi hivyo kusahau na wajinga kama mlivyo nyinyi chawa msiojua ni kitu kipi cha kujivunia kwa chama chenu ovu?

Chama ambacho ilikuwa ukivaa sare za CCM unazomewa na hata watoto mitaani?

Chama ambacho karibu kila mmoja alikuwa amechafuka kwa uwizi na kujilimbikizia Mali?

Na kwa tarifa yenu, subirini 2025

Watanzania hawajasahau uovu wenu na mnaoendelea kumchafua kiongozi aliyeleta unafuu kwa wanyonge wengi kupenda nchi na kufanya kazi zao kwa amani bila bughudha

Nchi ilifikia mahali, masikini ndio wanaofungwa wao tu magerezani

Masikini walikuwa wakilima, yie mnavuna?

Wakila, nyie ndio mnashiba?

Mkiugua nyie, wao ndio wanakufa?

Wakinunua viwanja, nyie mnajenga na kuwasweka magerezani kwa jeuri ya fedha zenu, Masikini ilikuwa hawezi kupata haki kokote?

Mnadhani ni chepesi vile kwao kumsahau JPM

Tafadhari, muunganisheni Mama kwenye cheni hiyo ya mambo mazuri walioyafanya wakiwa wrote! kamwe msimtenge nayo enyi chawa wa CCM!

Umeshapata nafasi ya kuzikwa hapo chattle? Sisi tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
Usitumie neno sisi!

Wewe na Nani wakati ni mpuuzi mmoja tuu! Na kilichokutatiza ni hicho cha ulaji wa ngada na ushenzi wa kununua jina la watu ili utumie kuajiriwa serikalini?
 
Usitumie neno sisi!

Wewe na Nani wakati ni mpuuzi mmoja tuu!

Sisi mimi na mke wangu. Kupanick hakutakisaidia chochote ww sukuma gang. Kama umeshanyweshwa vijibia mshenzi na wanaume, basi hapa pombe itakata. Ngiri jike ww.
 
Back
Top Bottom