Ni ujinga kujenga urafiki na mwanamke unayetaka kumtongoza

Ni ujinga kujenga urafiki na mwanamke unayetaka kumtongoza

Kwenye urafiki wa jinsia tofauti hasa kwa vijana kadri mnavyozidi kuwa na ukaribu na kuzoeana kuna mmoja huanza kujenga hisia za kimapenzi na akifunguka ndio mwanzo wa urafiki kuyumba.

Hii ilinikuta, nilitokea kuanza kumpenda yule dada nikawaza itakuaje na anajua maujinga yangu mengi sana, nikawaza nikimwaga sera ntaharibu kila kitu nikabinu mbinu kumteka na zikafanikiwa.

Wanawake huwa mnajiskiaje mkikumbatiwa kwa style hii ya pichani?
IMG_20240814_092523.JPG
 
Zamani ilikuwa sawa,ila siku hizi utakuwa mkombozi wake kwenye vikoba vyake,michezo yake ya majina matatu,mikopo yake,mara bundle nk.

Siku hizi watu wanaingia na zote akikataa sawa akikubali sawa. Ila ukileta maswala ya hayo jiandae na mizinga.
 
Kwema,
Naona kama una demu umemuelewa achana na mambo ya kuanza kujenga urafiki nae maana atakusumbua baadae kwenye kumtongoza ataanza kukuzungusha na pia itakuw ngumu kumpotezea.
Sisi mabaharia , tunawavuta mademu karibu na wao wanatuita kaka na bado tunaendelea kuwala sasa kama kisu chako ni butu ogopa urafiki ma demu maana utaendelea kusota hapa "wewe ni kama kaka yangu"
 
Back
Top Bottom