Ni ujinga kujenga urafiki na mwanamke unayetaka kumtongoza

Ni ujinga kujenga urafiki na mwanamke unayetaka kumtongoza

Let me explain it to you very simply,
Unapowekwa kwenye friend zone it means upo kwaajili ya kutumika.
Na kama mna dealer’s za pesa mlikuwa mnazifanya, basi elewa mnaenda kupoteza focus. KITAKURAMBA

KNOW YOUR VALUES kitu kidogo cha tamaa y’a muda mfupi kisikutoe kwenye line..
 
Kutengeneza urafiki kwanza huku ukiwa unampenda mwanamke kimapenzi ni ishara ya udhaifu na uoga wa REJECTION.


Tongoza mapema kabla hamjazoeana sana ili hata akikataa kusiwe na yale maumivu ya kumzoea, lakini pia Mwanamke akiwa rafiki yako ni lazima atajua vitu vingi sana kuhusu wewe na maisha yako, who knows? Pengine kwenye characters zako au baadhi ya mambo yako yanaweza kumfanya asikuwazie kama mtu unayeweza kuwa mwanaume wake, tofauti na ambapo atayajua mkiwa kwenye mapenzi tayari (anaweza kukuvumilia ubadilike taratibu).

Ingawa kuna marafiki zetu wa kike wanatakiwa kubaki kama marafiki tu, sio kila mwanamke anayekuwa karibu na wewe basi aliwe.
A man with masculine roots
 
Back
Top Bottom