Ni ujinga kujenga urafiki na mwanamke unayetaka kumtongoza

Ni ujinga kujenga urafiki na mwanamke unayetaka kumtongoza

Kwenye urafiki wa jinsia tofauti hasa kwa vijana kadri mnavyozidi kuwa na ukaribu na kuzoeana kuna mmoja huanza kujenga hisia za kimapenzi na akifunguka ndio mwanzo wa urafiki kuyumba.

Hii ilinikuta, nilitokea kuanza kumpenda yule dada nikawaza itakuaje na anajua maujinga yangu mengi sana, nikawaza nikimwaga sera ntaharibu kila kitu nikabinu mbinu kumteka na zikafanikiwa.

Wanawake huwa mnajiskiaje mkikumbatiwa kwa style hii ya pichani?
View attachment 3069472
Tako halibinyii utabinya nini
 
Kwema,
Naona kama una demu umemuelewa achana na mambo ya kuanza kujenga urafiki nae maana atakusumbua baadae kwenye kumtongoza ataanza kukuzungusha na pia itakuw ngumu kumpotezea.
Mfanye demu awe huru kwako kisa mvutie geto,usimtongoze mchombeze kimahaba huku ukimspoil mbona utakula mzigo kiulaini

Acheni ushamba vijana wadogo.
 
Friend zone ni hasara kubwa kwa mwanaume na ni neema kubwa kwa Mwanamke, depending on "nani kampenda mwenzake".
Urafiki kati ya mwanamke na mwanaume mfaidikaji siku zote ni mwanamke tu. Anakukatalia mahusiano ya kimapenzi ila anataka muwe karibu meaning akiwa na shida na akakuomba anajua utashindwa kumchomolea tu
 
Back
Top Bottom