chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Kumuweka karibu na kujenga urafiki ni sawaKuna watu bado mnatongoza! muhimu muweke karibu kula kimasihara sepa acha kutongoza hapa sio korea mkuu.
π€Kwema,
Naona kama una demu umemuelewa achana na mambo ya kuanza kujenga urafiki nae maana atakusumbua baadae kwenye kumtongoza ataanza kukuzungusha na pia itakuw ngumu kumpotezea.
Hatari sana''We ni Kama kaka angu'' inauma hiyo
Ndo hivyo mkuuπ€
Hiyo ni combo moja hatari sana, rafiki ni kama mashemeji huwa hawatongozwi ni mazingira tu kama ajali vile.Kumuweka karibu na kujenga urafiki ni sawa
π inauma hiyo''We ni Kama kaka angu'' inauma hiyo
SawaNdo hivyo mkuu
Melo kwenye fake idInapendwa pesa tu hata uwe na mitongozo mizuri vipi kama huna pesa pita kule.
Kumbe ndo sababu unaitwa totoo...πππsasa si inabidi ujenge kwanza urafiki ndo utupie mtongozo....
sema kila mtu ana mtindo wake wa kutongoza
Bado tupo mkuuKumbe kuna watu bado mnatongozana?
Yaani kutongoza inataka moyo sana, mtu unajishusha unajidhalilisha ila bado unaonekana boya tu, hapo bado hujatapeliwa visenti vyako!Bado tupo mkuu
Sisi mabaharia , tunawavuta mademu karibu na wao wanatuita kaka na bado tunaendelea kuwala sasa kama kisu chako ni butu ogopa urafiki ma demu maana utaendelea kusota hapa "wewe ni kama kaka yangu"Kwema,
Naona kama una demu umemuelewa achana na mambo ya kuanza kujenga urafiki nae maana atakusumbua baadae kwenye kumtongoza ataanza kukuzungusha na pia itakuw ngumu kumpotezea.