Ni ujinga tu kushangilia mauaji ya Wapalestina kwa kudhani wanaouliwa ni Waislam

alipozaliwa nabii issa leo hakuna myaud hata mmoja na bado unasema wayaudi ni wavamiz? ebu punguzen unafiki
 
Acha sasa waende jino kwa jino. Anayenyukwa atulie,mbona mnaanza kulialia
 
Vita zina siasa nyingi. Umeamini vipi kuwa alopiga Bomu kanisani ni Israel na siyo Hamas. Unafahamu faida anayopata Hamas kwa tukio Kama hilo
 
njoo uue raia ?
 
Chanzo cha mzozo huu sio uvamizi wa Hamas tu, ila ule uvamizi ni mwendelezo tuu wa huu mzozo wa miaka mingi.
na hayo yote unayamaanisha yalitokea kisa vanizi zenu israel au kushambulia ndan ya israel , usijie uchizi kuwa hujui
 
Kiuhalisia kuna uonevu unaoonekana kwa Wapalestina.
Ukiangalia ramani ya zamani Palestina ilikuwa kubwa Israel ndogo
Saivi ukiangalia ramani Israel in 89% Palestina 11% kitu ambacho sio haki
na ndo ujiulize kwann imekuwa ni israel alianza tu kupora bila sababu , huez kuwa na eneo la kifaidia kivita halaf unalitumia kufanikisha tamaa zako za kupora kaene kadogo ka israel yaan wapalestina walikuwa na eneo kubwa lakin tamaa zao ndo ziliwafikisha hapo , wakome na wajifunze
 
1937 Palestina is under colonial government , stoo propaganda
 
malizia kuwa wapalestina ndio hawataki kuunda taifa moja na waisrael
 
Jambo la kuungana Israel haiwez kukubali cos Wapalestina ni wengi hivo wanahofia watapoteza identint yao.
wanaokataa ni wapalestina sio waisrael , mbona Netanyau aliwai ongea kwenye documentary moja , na hata ss ndan ya israel wapo wapalestina $ waarabu wengi tu na lugha ya kiarab inatumika sana bila kikwazo chochote , kamsikilize aliye i kuwa mtoto wa moja wa viongoz wa hamas huko siku za nyuma
 
i dont have a dog in this fight, mimi najali maisha ya watu innocent hasa wanawake na watoto, wewe kama mwafrika na mtu mweusi you should know better about prejudice and discrimination …
israeñ hakuna wamama na watoto [emoji23][emoji23][emoji23] ulijinadi ww ni mkristu na ss hv unaanza onekana wazi , hatuna wakristu wapumbav hv , unang'ang'ania justice kwa wapalestina ila hutak kubali makosa ya hamas
 
Sasa sheikh kama hamtaki mapatano na Israel katika meza ya mazungumzo na mmechagua njia ya mapigano mbona Tena mnalalamika na kuomba Dunia iingilie kati mauaji anayoyafanya myahudi dhidi yenu .
NB. Huu unafiki wa kuwalilia waarabu unatoka wapi wakati Kuna waafrika wenzetu wa Sudan wanauawa na haohao waarabu mauaji ya kimbali ?
 
Hata mtume alipigana vita pale ilipombidi . So usishangae taifa teule kuamua kuingia kwenye mapambano ya vita pale inapochokozwa . Akuanzaye mmalize 😂😂😂
Taifa la Mungu Israel liache liziidi kubarikiwa na lizidishe MAUAJI ...

Sababu Israel ni Taifa Teule
 
Kwani hawa wayahudi si ndio waliomliga mijeledi Yesu, inakuwaje tena wabarikiwe hawa wamelaaniwa na Yesu. Yohana 4:22 hapa mmeingizwa chaka, na hayo ni mazara ya Imani bila kishirikisha akili.
Tangu kuzaliwa kwake Yesu hakuwa mtu wa visasi na chuki Kwa wasiomuamini na kumpenda . Hata baada ya kupigwa na kuteswa Sana pale msalabani alitamka maneno haya " Baba wasamehe Kwa maana hawajui walitendalo ". Kwa hiyo wewe kusema Yesu aliwalaani waliomtesa hebu lete andiko tulione .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…