Ni ujinga tu kushangilia mauaji ya Wapalestina kwa kudhani wanaouliwa ni Waislam

Waisrailiwaje bongo kutusaidia kuua CCM wote kuanzia wa juu kabisa mpaka wa chini kabisa
 
Uvamiz wa HAMAS?

Hamas imeundwa 1987,IDF ipo hapo miaka na miaka inamwaga damu na kufanya illegal occupation of Land ya wapelestine, Sasa nani hapo kavamia?

Yani mtu anaejilinda kutokana na vitendo vya kuuliwa unamuita mvamizi na Gaidi?
Hammas inajilinda kwa kuwachinja watoto wadogo

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli, hakuna rasilimali zozote za maana eneo hilo. Huo ni mgogoro wa kidini, kiutamaduni na Kihistoria.
 
Sio kweli, hakuna rasilimali zozote za maana eneo hilo. Huo ni mgogoro wa kidini, kiutamaduni na Kihistoria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…