Ni ukweli unaoniuma ila acha tu niuseme Roho yangu ipoe

Ni ukweli unaoniuma ila acha tu niuseme Roho yangu ipoe

Kwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE.

Namkubali mno na Ninampenda.
Kama na wewe umesalimu amri kwa mzee wa kutetema mimi ni nani nikubishie, Wachezaji wa mtibwa walikusanywa kama unavyokusanya mtama kwenye jamvi na akawaweka kiutamu utamu🤣🤣
 
Hamna kitu Pale. Hajakutana na Beki kama ya Azamu. Mweupe sana. Sema hamna team yenye ukuta mgumu Kwa ligi ya NBC
Mbona unajikanyagakanyaga mkuu, kalete timu yako yenye ukuta mgumu tuone, kwani hao azam si aliwagonga msimu uliopita au unasemea azam ipi yenye ukuta mgumu? Na ingekuwa na ukuta mgumu ingeruhusu goli 2, au ukuta ulikuwa mgumu kwa mayele peke yake kwa feisal ulikuwa mlaini?
 
Kwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE.

Namkubali mno na Ninampenda.
[emoji1787][emoji1787]
 
Bado mapema wacha ligi iendelee, anaweza pitiwa na ukame wa mabao gafla muanze kushangaa..

Mimi credit zangu kwake nitazitoa mwisho wa msimu.

Naona Yanga inabebwa zaidi na timu yao kukaa pamoja muda mrefu, pale chemistry ime-click, ndio hata asipofunga Mayele, atafunga mwingine yeyote.
 
Mpe mayele heshima yake bwana wabongo mna roho za husda sana
 
Back
Top Bottom